Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

Kama wamemkamata aliyempiga risasi basi ni jambo zuri,tutajua kama ni mambo ya kifamilia au kibiti imesogea kibangu.pole sana muumini.Mungu akupe kupona haraka.
db9e246add37642f6240e56c4b76bd94.jpg


-Domhome-
 
Jamaa aliona kabisa avae na miwani ya jua afanane na akina jack bauer, dolp,anold na Rambo.


Kakamatwa kiboya kweli sijui silaha alikuwa anayo bado au aliitupa akaanza kusepa,


Hii haitifautiani na mtu kuchoka sana halaf anabeba baiskeli mabegani eti imemchosha.
Wabongo mna maneno, sijui ungekua wewe hata kutumia hyo silaha kam ungweza!!!! maandazi kweli
 
Kama ni kweli wana ugomvi wa mwanamke na mwanamke mwenyewe ndio huyo kwenye picha basi hao jamaa bado wana safari ndefu sana
Wanawake walivyo wengi halafu mtu bado anatumia silaha...

Sent from Ili iweje
 
Tanzania Silaha za Moto Miaka hii ya karibuni zimekuwa nyingi sana
 
Taarifa ya habari saa 2 usk ilisema alikuwa ni mtu na mkwe wake hivyo inawezekana kulitokea sintofahamu ktk familia.
 
Mmejifunza lini utii wa sheria huko....... yaani hata makofi ya kumtoa mawenge mnampeleka polisi kama mnasindikiza bi harusi
 
Back
Top Bottom