Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

HUYOO MTU ANGEKUFA ungesikia haoo waislamu wamempigaa haya sasa leo.munazuga semeni ukristo nao ugaidi

sady mkima

IMG_20170720_231505.jpg

Asingekamatwa huyo Mpiga Risasi Basi tungeambiwa ni Wale Ma Sheikh wa Uamsho ndio waliratibu
IMG_20170720_230624.jpg


May Allah bless Me and You
 
Wabongo mna maneno, sijui ungekua wewe hata kutumia hyo silaha kam ungweza!!!! maandazi kweli
Nisingeweza kweli na haitatokea nna mashine mkono mkanishika kifala,

Nikifyatua tu moja hewan mpaka polisi wanatokomea,

Sasa huyo boya anakamatwa tena na wananchi huu ni ujinga wa karne
 
Haijuwa hivyo, ilikuwa hivi mwathirika wa tukio alikuwa amefika kanisani hapo ili kusibiri kuingia misaa ya pili huku akiwa nje anasoma gazeti ambapo mtuhumiwa akiwa ameficha siraha ya moto aina ya bastora ya kiraia yenye risasi tatu tu ndipo aliposhambuliwa na siraha hiyo kwa kumpiga risasi tatu zote maeneo tofauti ya mwili wake , hali iliyopelekea kupoteza damu nyingi na fahamu mtawalia! Mtuhumiwa alifanya tukio huku akishuhudiwa na umati wa watu wengi wao wakiwa dereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda ambao wanatoa huduma ya usafiri kanisani hapo. Baada ya mtuhumiwa kufanya tukio hilo alitaka kuondoka kwa usafiri wa pikipiki lakini madereva walikuwa wanamkimbia huku wakiambiana ana bunduki huyo ,ameua hivyo akakosa kwa kwenda na akawa anazomewa na bodaboda kwa mbali! Mtuhumiwa aliamua kukaa kwenye mawe yaliyokuwapo kanisani hapo na huku akisema AFADHARI hadi polisi walipo fika eneo hilo na kumkata mtuhumiwa kama kuku mgonjwa. Over ninechoka kuandika kama nimekuboa andika ulivyoona wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muumin alikuwa anawahi kutubu, Mungu wake amemponya
 
Mtu unainuaje silaha mchana kweupe na kumfyatulia mtu ukitegemea kutokamatwa.?
 
Jamaa ashukuru polisi hawakuepo jirani venginevo angeuawa hapo hapo - police policy shoot first questions later. Nawapongeza wananchi kwa ujasiri.
 
Kweli Mungu yupo, kampiga mtu risasi tatu bado kabaki mzima, Malaika wakamtia upofu kama sauli hadi watesi wakamkamata kama kuku na kumpeleka kwa liwali,

angumsubiri bar angesepa na tungesingizia wazee wa uamsho.
 
Nisingeweza kweli na haitatokea nna mashine mkono mkanishika kifala,

Nikifyatua tu moja hewan mpaka polisi wanatokomea,

Sasa huyo boya anakamatwa tena na wananchi huu ni ujinga wa karne
Unajua maana ya kitu kinaitwa BUMBUWAZI? ..hivi unahabari kwamba wanaomiliki Silaha huwa wanakufa kizembe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa aliamua na alipanga hili tukio na lengo nikuua ila imeshindikana . anaonekana anayomatatizo ya kisaikolojia huyu sii bure, kweli watu wamejichoka
 
mwenye miwani ndio kaamtia mwenzie mkwaju...nilikuwa natoka makoka ndio nimi nikachukua picha kidogo

20229149_369943693421130_5407867311937929914_n.jpg
Ole wake angejaribu kurushiana risasi na polisi,
angeungana na wenzake wa kibiti kutangulia
mbele ya haki.
Nawapongeza raia kwa kujua namna ya kumdhibiti
mharifu mwenye bunduki bila kupoteza uhai wake
na hatimaye kumkabidhi kwenye vyombo vya dola
ili upelezi ufanyike sawia na sheria ichuke mkondo wake.
 
Back
Top Bottom