Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
kuna nyingine tena kwako zaid ya hii jf?
Hahahaaaaaa.....!!
kuna nyingine tena kwako zaid ya hii jf?
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.
Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...
Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?
Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.
Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...
Hahahaaaaaa.....!!
hebu malizia,mkafanya?Dah! hii imenikumbusha mbali nami nshapata kwenye simu long time sana, alikuwa na sauti nzuri naimagine ni mkaka kaenda hewani ,black,handsome, akatoka iringa kunifata Arusha khaaaaaaaa!!!!!!!!alivotokea ni kituko........
Ikitokea situation ya hivi hakunaga kufanya ni kula kona tu....hebu malizia,mkafanya?
ha ha ha ha ha ha! funguka neylu ....kuna moja ilikuwa inasauti nyororo halafu inatema ngeli balaa ,siku ya kuonana eneo la tukio dakika za mwisho ndiyo naangaza angaza kumtafuta kwasababu sikumuona mtu ninayemtegemea nikaamua kumpigia simu ndiyo ananiambia am too short and too black wearing a jeans and red blouse, sikutaka kuonyesha disapointment yangu ili nisiumize hisia zake as nilikuwa tayari nimekuwa......eti was wrong
number
ha ha ha ha!!lakini si unawafahamu wakinga!!!ila huwa wana compensate kwa chini!!!chini wanakuwa njema hao ndizi sukari!!!Ikitokea situation ya hivi hakunaga kufanya ni kula kona tu....
Mwanaume analingana na ndizi sukari!!!! aaah wapi situmii mimi.......
Katika hilo hata ninyi vijana/wa kaka huwa assumption zinawacost sanaHhaahahahaa ila nyie mabinti assumption zita-wacost sana.
Kuwa ni wafupi vertically ila warefu hirizontally!!!ha ha ha ha!!lakini si unawafahamu wakinga!!!ila huwa wana compensate kwa chini!!!chini wanakuwa njema hao ndizi sukari!!!
siyo mkinga ila propositional yangu kwa chini kama ya mkinga!!Kuwa ni wafupi vertically ila warefu hirizontally!!!
ha ha ha maajabu, nawe ni mkinga?
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.
Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...
Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?
Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.
Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...
ha ha ha ha! muonekano wangu sina shaka nao ,naangukia kwenye lile group la mwanaume anayevutia wanawake wengi kimuonekano na mengine ni siri ya nyumba.Hahahaaaaa.... Umenichekesha sana ndugu yangu..!!
Bwana haya mambo haya... Mmmmh... Sijui hata huwa inakuwaje... Maana ni wachache sana wanaoridhika wote wawili kwa huu mtindo..!! Lakini huwezi kujua, labda na huyo bibie naye hakuridhishwa na muonekano wako.. Hahahaaaaa.....