asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
funguka zaid mkuu hiyo yako ilikuwaje ?Yalinitokea inanisumbua mpaka leo nakosa amani
funguka zaid mkuu hiyo yako ilikuwaje ?Yalinitokea inanisumbua mpaka leo nakosa amani
"Mrefu,black,handsome,-----oooook!!hope toka wakati huo bado upo upo ila this time umempata mwenyewe haswaaa!! Onet is your final choice,uko wapi kimwana,sweetie,honey na mimi nianze kukufatafata? Arusha ya unga ltd au matejoo?niambie chap nidandie ki hiace nije nikuoe darling,ungenijibu mapema ingekuwa poa ili nimshtue kabisa mchungaji atuwekee nafasi ya kufunga ndoa kesho pale kanisa la uunganisho,honeymoon tunaenda zetu kwa mromboo,kwa raha zetu,fanya hivyo dia!!mmwah
ha ha ha ha! muonekano wangu sina shaka nao ,naangukia kwenye lile group la mwanaume anayevutia wanawake wengi kimuonekano na mengine ni siri ya nyumba.
ha ha ha ha ha! dont try this at home.huamini?Hahahaaa..... Unajifagilia sio??
mbona kawaida sana unachojishangaza ni kitu gani mm nishawararua kama saba hivi fb watatu saut ya mwanza wawili ifm na wa udsm lakini mm fb nimeweka info za ukweli na uhakikaJamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.
Juzi kati kanionyesha binti mmoja anachat nae na walikuwa kwenye final talk kuwa huyo binti aje kwa jamaa.
Binti anasoma SAUT so wameshawekana sawa kwamba yule msichana akitoka mwanza atapitia Arusha kwa jamaa kwa siku kadhaa kabla ya kwenda kwao Moshi na hivi sasa wanaitana Dear,Honey na majina mengine matamu sana...
Jamani hivi inakuwaje mtu unamwamini mtu kwa kiwango kikubwa hichi hata umfahamu na yeye hakufahamu jamani,Nyie mabinti wa vyuo ni kwa nini mnakuwa cheap in town namna hii jamani?
Mbaya zaidi picha jamaa alizoweka huko facebook si picha zake halisi na hata infor alizoweka si zake halisi sa yule binti pindi atakapo fika ARUSHA sijui atazimia atakapomuona jamaa aliyekuwa anachat naye sivyo alivyo kabisa.
Kweli nimekua nimeyaona mengi na hata hili kwangu ni jipya lingine.
Nitaendelea kuwajuza binti atakapofika Arusha coz yupo on the way from Mwanza...
ha ha ha ha ha! dont try this at home.huamini?
ha ha ha ha ha ha! vifupi nyundo siyo chaguo la wanawake wengi na ukikuta tall man hutaniona kituko ila tu sitakuvutia kwa kimo ila mambo mengine je?Hahahaaaaa..... !!Kuna wengine tunapenda wanaume vifupi nyundo... Sasa nikikutana na wewe tall si nitaona hunifai..!!
ha ha ha ha ha ha! vifupi nyundo siyo chaguo la wanawake wengi na ukikuta tall man hutaniona kituko ila tu sitakuvutia kwa kimo ila mambo mengine je?
ha ha ha ha ha! kwaheri mpenda andunjezzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiii!Hahahaaa.... Sasa mambo mengine vipi, wakati mie huo urefu wako tuu nitakuona hunifa..!!
Nikishakuona tuu ni mrefu, fasta nakula kona..!! Sitakuwa na muda wa hayo mambo mengine.. Lol
ha ha ha ha ha! kwaheri mpenda andunjezzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Jamaa ni mpenzi sana wa facebook kila siku jioni yupo busy facebook,Mi huwa namshangaa sana sababu mi inaweza pita hata mwezi sija log in huko.