Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
Mtaji ni usd milioni 10 kutoka kwa mwekezaji toka nje ya nchi
ipi kati ya hizo inaweza kulipa kwa Dar?
ipi kati ya hizo inaweza kulipa kwa Dar?
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?
Mwenzako anataka kuwekeza Tanzania wewe unamshauri awekeze nje, hutaki atengeneze ajira kwa ajili ya watanzania wenzake?
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?
Mind you, unatumia $ halafu unapata shillings in return .... not good!!Basi nilifikiri kuwa real estate inalipa na hasa hizi affordable houses ambazo mnatumia dola 50,000 kujenga kisha tunaziuza at around dola 120,000
kwa sababu demand ya accomodation Dar ni kubwa sasa idea ilikuwa kuzijenga kisha kuwauzia benk zote halafu wao wataangalia wafanye nini nazo
Then idea nyingine ni hiyo ya OUT OF TOWN Shopping Mall uzuri ni kuwa investment ni ardhi, Majengo...nakshi, security, Umeme kisha bas...
sasa sijajua kama ialipa au la
Apartment ndio kama hiyo VIVA TOWER lakini sijajua dude kama lile linacost how much kulipandisha mapaka lifikie pale
Ni afadhali mtanzania mwenzangu apate $, kuwekeza Tanzania haimaanishi ndiyo unawapa watanzania utajiri, ni afadhali tulete fedha za kigeni Tanzania.We need to make $ or Euros. Tuachane na mawazo mgando.ndio matatizo yetu mkuu
jamaa kauliza swali lake kobello anampa jibu la swali jingine
nimekusoma mkuu, sasa niyafanyaje haya mawazo mgando??Ni afadhali mtanzania mwenzangu apate $, kuwekeza Tanzania haimaanishi ndiyo unawapa watanzania utajiri, ni afadhali tulete fedha za kigeni Tanzania.We need to make $ or Euros. Tuachane na mawazo mgando.
Kaka Nairobi hiyoHiyo WestgatE mall ni South Africa nini.