Apartments, Shopping Mall, Low/Affordable Cost housing au Printing Complex?

Don Draper

Senior Member
May 30, 2012
176
87
Mtaji ni usd milioni 10 kutoka kwa mwekezaji toka nje ya nchi

ipi kati ya hizo inaweza kulipa kwa Dar?
 
Gesti. Mtandao ndo biashara kubwa zaidi (I presume 'muwekezaji' anataka dar es salaam).

Kama ana akili timamu jengeni kiwanda cha kusindika matunda bagamoyo. Usinisahau kwenye feasibility study.
 
ninayo land property in the most prime area in Arusha and it is ideal for appartment project investment

karibu sana tuongee joint venture
 
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?
 
Mwenzako anataka kuwekeza Tanzania wewe unamshauri awekeze nje, hutaki atengeneze ajira kwa ajili ya watanzania wenzake?
 
ndio matatizo yetu mkuu

jamaa kauliza swali lake kobello anampa jibu la swali jingine
 
Idea ya Apartments iliyokuwepo ni something like this:

DSC03019.jpg

DSC05393.jpg

SHOPPING MALL KAMA HILI:

-1_westgate-shopping-mall_kenya2_main.JPG

INSIDE%20THE%20MALLbig.jpg

AFFORDABLE HOUSES KAMA HIZI:

REDROW00001b.jpg

factory-overview-large.jpg

commercial-printing.jpg

textbook.jpg
 
Ni kweli ilikuwa niwapeleke Rwanda lakini kutokana na hasira zangu na Tanzania lakini nimetia moyo konde nikaona why not bongo japo tuna matatizo

sasa wao wana taka quick returns
 
Real estate is not feasible in Tz. Printing inayolipa bongo ni ya madaftari, easy (not four color printing) especially hardbacks na a few softbacks. Makaratasi China. USD 500,000 zinatosha. Milioni 10 si bora uwekeze nchi za nje?

Basi nilifikiri kuwa real estate inalipa na hasa hizi affordable houses ambazo mnatumia dola 50,000 kujenga kisha tunaziuza at around dola 120,000

kwa sababu demand ya accomodation Dar ni kubwa sasa idea ilikuwa kuzijenga kisha kuwauzia benk zote halafu wao wataangalia wafanye nini nazo

Then idea nyingine ni hiyo ya OUT OF TOWN Shopping Mall uzuri ni kuwa investment ni ardhi, Majengo...nakshi, security, Umeme kisha bas...

sasa sijajua kama ialipa au la

Apartment ndio kama hiyo VIVA TOWER lakini sijajua dude kama lile linacost how much kulipandisha mapaka lifikie pale
 
Mind you, unatumia $ halafu unapata shillings in return .... not good!!
 
ndio matatizo yetu mkuu

jamaa kauliza swali lake kobello anampa jibu la swali jingine
Ni afadhali mtanzania mwenzangu apate $, kuwekeza Tanzania haimaanishi ndiyo unawapa watanzania utajiri, ni afadhali tulete fedha za kigeni Tanzania.We need to make $ or Euros. Tuachane na mawazo mgando.
 
nimekusoma mkuu, sasa niyafanyaje haya mawazo mgando??

niyayeyushe au niyatume?
 
Out of town mall sio idea nzuri kwa hapa Tz, with reference to few shopping malls e'g Mlimani city ambapo square meter moja ni US $26, na biashara ni ngumu, Kama ni quick return elekeza nguvu kwenye majengo especially Condominium.
 
Back
Top Bottom