Dp we tuletee story za mama J tu...huku hutoelewa......hizo 5895...! Elevated part tu ya mlima wenyew...ila from sea level ndo hyo km 60 anayoi state huyo mwamba.....na inategemeana na route uliopandiaHesabu za wapi hizi km 60= meta 5895?
Dp we tuletee story za mama J tu...huku hutoelewa......hizo 5895...! Elevated part tu ya mlima wenyew...ila from sea level ndo hyo km 60 anayoi state huyo mwamba.....na inategemeana na route uliopandiaHesabu za wapi hizi km 60= meta 5895?
[emoji38][emoji38][emoji38]Humu watu wanaropoka tu mtakufa kwa kutaka sifa
Naomba upande na kushuka...tuletee Timer hapa.mimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,
mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
"Mashindano ya mbio za baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi"Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa Rai kwa Watanzania waendelee kujitokeza na kushiriki mashindano ya mbio za Baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi.
Ametoa rai hiyo leo Aprili 01, 2023 jijini Dar es Salaam alipokutana na Mwendesha Baiskeli bora Duniani Bw. Mike Leszek Mikulski kutoka nchini Poland ambaye amekuja nchini Tanzania kuweka rekodi ya kupanda Mlimani Kilimanjaro na kushuka kwa muda wa saa 24.
View attachment 2573163
Tokea nimeanza kuupanda huo mlima 1999 December sijawahi kuuzoea kiihivyo! Hauko simple kama watu wauonavyo! Kwa kifupi Kilimanjaro sio pakutania kwa wale ma legendary wa huo mlima tunapajua msifanye masihara! Sio gym pale!Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Nakuja Arusha, nategemea kupata mwenyeji wa kunikaribisha hapo mjini😊Wa aleykum salaam! 🙏 Hata hamna tupo tu.
Mimi nimeupanda mara mbili kupitia machame gate. Achana na hawa madogo wanaoongea tu bila kuwa na experience yoyote. Wanauchukulia mlima KLM kama kijilima flani hivi bila kujua changamoto za hali ya hewa zilizopo ndizo zinazofanya safari iwe ndefu.Tokea nimeanza kuupanda huo mlima 1999 December sijawahi kuuzoea kiihivyo! Hauko simple kama watu wauonavyo! Kwa kifupi Kilimanjaro sio pakutania kwa wale ma legendary wa huo mlima tunapajua msifanye masihara! Sio gym pale!
Pay respect for mountaineering 🙏
Haikuwa na haja ya kumjibu huyo mpumbavu. Aliongea kitu ambacho hakipo kabisa😆😆Unavijua vipimo vya umbali kweli wewe?
Unapoongelea 60 km una maanisha 196,000+ feets.
Ndege za abiria za masafa marefu huwa zinaruka 40,000+ feets.
Aircraft inayoruka umbali mrefu zaidi hadi sasa imeenda 70,000 feets.
Sijui hizo Km 60 unazoziongelea ni zipi mkuu?
Topography, body temperature adoption + tourism.Ukienda Straight ni km 5 , tatizo hakuna njia ya moja kwa moja direct , ni kuzunguka kama wana wa israel Jangwani , ndo safar inakuwa ndefu , sjajua kama hii ni strategically ili kupiga pesa za wale wanaopanda au kulingana na topography ya eneo
Mbona mengi kwanza lisaa limoja ru na nusu nashuka
sasa unadhani mgandamizo wa hewa unaathiri kila mtu kwa kiwango sawa?Ingekua ni Km kama za Uyole mpaka Mbarali wengi wangeupanda na kushuka tatizo ni kubadilisha hali ya hewa mgandamizo wa hewa ndogo ya Oxygen kila unapoenda juu unapungua wengi wanaongea kwa hadithi na mlima upo Moshi tuu hapo...
Mkuu mlima upo nenda kapande na urudi shida ipo wapi uje na majibu hapa sio zile story za Ulaya...sasa unadhani mgandamizo wa hewa unaathiri kila mtu kwa kiwango sawa?
Mkuu rekodi zinavunjwa'ga' na wazungu tu.Bado hajavunja rekodi ya mtz aliyepanda mlima huo kwa masaa 8.
Mimi nawacheki tu, wengine sisi ndio office yetu ileWENGI MLIO TOA MAONI YENU HAPO NYUMA NI WAJUAJI NA WAPUMBAVU PIA RUTI FUPI MLIMANI NI KM37 NA RUTI NDEVU NI KM90 APO UNAPANDA MLIMA AMBAO KATIKATI YAKE UNAVIKWAZO MBALIMBALI PAMOJA NA HALI YA HEWA KUZINGUA SASA VIJANA WA DAR MNALETA TAMBO ZENU ZA KIBOYA FANYENI KAMA MNAVUNGA ACHENI KUPOTOSHA UMA
WENGI MLIO TOA MAONI YENU HAPO NYUMA NI WAJUAJI NA WAPUMBAVU PIA RUTI FUPI MLIMANI NI KM37 NA RUTI NDEVU NI KM90 APO UNAPANDA MLIMA AMBAO KATIKATI YAKE UNAVIKWAZO MBALIMBALI PAMOJA NA HALI YA HEWA KUZINGUA SASA VIJANA WA DAR MNALETA TAMBO ZENU ZA KIBOYA FANYENI KAMA MNAVUNGA ACHENI KUPOTOSHA UMA
Tokea nimeanza kuupanda huo mlima 1999 December sijawahi kuuzoea kiihivyo! Hauko simple kama watu wauonavyo! Kwa kifupi Kilimanjaro sio pakutania kwa wale ma legendary wa huo mlima tunapajua msifanye masihara! Sio gym pale!
Pay respect for mountaineering [emoji120]