Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa Rai kwa Watanzania waendelee kujitokeza na kushiriki mashindano ya mbio za Baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi.
Ametoa rai hiyo leo Aprili 01, 2023 jijini Dar es Salaam alipokutana na Mwendesha Baiskeli bora Duniani Bw. Mike Leszek Mikulski kutoka nchini Poland ambaye amekuja nchini Tanzania kuweka rekodi ya kupanda Mlimani Kilimanjaro na kushuka kwa muda wa saa 24.