Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,206
- 54,448
Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
If only it was that easy. Sio rahis kama unavyodhani, altitude is not a joke