Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Huo mlima utauona mrefu kupanda ukipanda na makundi maalumu km

Wanawake
Wazee
Watoto
Na wenye vitambi uzembe
 
Kili photo
FB_IMG_1672428558080.jpg
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa Rai kwa Watanzania waendelee kujitokeza na kushiriki mashindano ya mbio za Baiskeli yanayofanyika ndani na nje ya nchi.

Ametoa rai hiyo leo Aprili 01, 2023 jijini Dar es Salaam alipokutana na Mwendesha Baiskeli bora Duniani Bw. Mike Leszek Mikulski kutoka nchini Poland ambaye amekuja nchini Tanzania kuweka rekodi ya kupanda Mlimani Kilimanjaro na kushuka kwa muda wa saa 24.

View attachment 2573163

huyu mzungu janjajanja sana, amekuja tz kutengeneza profile ya jina lake kwa kupitia mlima kilimanjaro.

waliomu-host wanamtambulisha kama mwendesha baiskeli bora duniani, ila uki search taarifa zake mitandaoni, inayomuelezea, wala mashindano aliyowahi kushinda.

na kwa makusudi kabisa, amefuta page yake ya instagram.

ukweli utajulikana tu.
 
nakuambia nimeshapanda mara 4 ule mlima. Mara ya mwisho ni july 2022. Tulienda kiofisi na waliotuchelewesha nii mademu na vibonge. MIIMA KILIMANJARO NAPANDA NA KUSHUKA MASAA 8 YANATOSHA VIZURI.
Unamaanisha kuanzia getini?
 
Mita elfu tano au sita tuseme ni sawa na kilomita 6 approximately. Hata kama ni mlima lakini saa 5 hazizidi kupanda huo mlima kwa energetic person yeyote.
Hizo zingine ni blaa blaa na ulaji wa watu wengine.
 
Ni mind set yako uliyoijenga

Hata sisi tuliogopeshwa mara ya kwanza

Lkn tukagundua njian ni kitu chepesi tu, Njiani tulikuwa tunawapita makundi ya watu wanatembea polepole na kushangaa chemicgemi za maji

Nilikuwa na kamanda tukaiacha crew yetu tukaenda kwa joging ila guide akawa anatukataza tutapotea na bla bla kibao

Tulifika kituo cha kwanza kile ( sikumbuki jina)
Crew yetu tuliisubiri kwa masaa mawili ndio wakafika wakadai wamechoka tupumzkie

Hali ya hewa pale kweli ilibadilika baridi na chai kwenye jiko la gesi ilitumia dkk km kumi kupata moto kutokana na maji baridi sana wakati majumbani chai dkk tano tu imechemka

Tatizo mnashindwa kutofautisha kupanda mlima kwa kutalii ukiwa umerelax kwakuwa umetenga siku zako 3+

Ila kwenda kwa lengo la kufika kileleni kuanzia asubuhi hadi saa nane saa tisa utakuwa kileleni
Be careful iko siku utawekewa jiwe la kumbukumbu mahali mwili umeachana na roho!
Jana ya kilimanjaro sio leo ya kilimajaro!
 
Mimi nimeupanda mara mbili kupitia machame gate. Achana na hawa madogo wanaoongea tu bila kuwa na experience yoyote. Wanauchukulia mlima KLM kama kijilima flani hivi bila kujua changamoto za hali ya hewa zilizopo ndizo zinazofanya safari iwe ndefu.
Waache wajifanye wajuaji! Siku wakianza kuwekewa mawe ya kumbukumbu mahali roho zao ziliacha mwili ndio watajifunza!
 
Back
Top Bottom