Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Apanda Mlima Kilimanjaro kwa Saa 24

Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni

Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Itakuwa mlima Kitonga huo
 
mimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,

mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
[emoji28][emoji28][emoji28] masiala
 
Wengi wanashindwa kuelewa mtalii ni nani na utalii unamaanisha nini kwa ujumla wake. Kitu Cha kwanza tour guard ni lazima atoe huduma itakayomfurahisha na kumfanya mtalii aridhike; hapa wataangalia na kuelezea features zote ambazo si za kawaida mlimani(Muda unatumika). Tourguard lazima aangalie safari yake na mtalii aikatishwi na obstacle yoyote ile. Kadri unavyopanda mlima Kilimanjaro hali ya hewa inabadirika (As the height increases the amount of oxygen decreases) so kunapokuwa na hali mbaya lazima wasimame kwenye vituo vilivyokuwa stationed kwaajili yakupata maradhi(Muda unatumika)
Na kama utaenda kupanda mlima Kilimanjaro kama mtalii procedures za kiusalama lazima zizingatiwe( Hapa ndipo muda unapotumika zaidi) ila kama utaenda kupanda mlima Kilimanjaro kupima uwezo wako obviously utatumia muda machache tofauti na muda wanazitumia watalii. Sasa Kuna mtu anakwambia Mlima Kilimanjaro uko overrated, sijui anatumia kigezo gani?![emoji849]
Ww ndo wale wale wachovu
 
Mkuu kadiri altitute inavyozidi kuongezeka air pressure inashuka hivyo kufanya upumuaji kuwa mgumu.

Hewa iliyopo kwenye lower altitude (karibu na usawa wa bahari) sio sawa na iliyopo kadiri unavyozidi kuongeza altitude (mwinuko) kutoka usawa wa bahari. Hivyo kupanda mlima sio rahisi kama unavyodhani.

Itauchukua mwili wako siku nyingi ku adjust kwenye higher altitude uweze kupumua vizuri.

Hivyo basi usifikiri unaweza kutembea kama ukiwa beach na mlimani hivyo hivyo. Kule hatuma moja ya sehemu za chini ni hatua tano.

Kuna kitu kinaitwa altitude illness as mapafu yanajaribu ku adjust na low air pressure ili uweze kupumua, kulazimisha kwenda haraka matokeo yake uta collapse kwa kushindwa kupumua na hutamaliza hata nusu ya safari.

Kama ni mwanzo huwezi kumaliza 10 kilometers kwa siku. Labda kama ni mtu unaeishi milimani (kwenye high altitude au ni mtu ambae unapanda milima kila mara basi angalau unaweza kuenda mbali kidogo). Lakini kama ni mara ya kwanza kupanda wala usijidanganye.

Njemba Soro. Jbst
Mimi nimezaliwa na kukulia kwenye milima, utoto wangu tumekua tunashuka tunakimbia na kupanda mlimani sasa nashindwa kuelewa kinachofanya mlete vitisho.

Mimi sijawahi kufika hapo ila na uhakika kama njia naifahamu napanda kwa masaa hapo mpaka juu
 
nakuambia nimeshapanda mara 4 ule mlima. Mara ya mwisho ni july 2022. Tulienda kiofisi na waliotuchelewesha nii mademu na vibonge. MIIMA KILIMANJARO NAPANDA NA KUSHUKA MASAA 8 YANATOSHA VIZURI.
Huwezi tembea masaa 8 kilomita 24,achilia mbali mlima na mrefu na changamoto zake
 
Unavijua vipimo vya umbali kweli wewe?
Unapoongelea 60 km una maanisha 196,000+ feets.
Ndege za abiria za masafa marefu huwa zinaruka 40,000+ feets.
Aircraft inayoruka umbali mrefu zaidi hadi sasa imeenda 70,000 feets.
Sijui hizo Km 60 unazoziongelea ni zipi mkuu?
Anazungumzia kilometa za kutembea.Kwasababu tofauti na urefu wa futi kwenda juu toka usawa wa bahari boda kuna kilometa zakutembea aridhini kutoka kituo cha kwanza hadi kileleni.
 
Anazungumzia kilometa za kutembea.Kwasababu tofauti na urefu wa futi kwenda juu toka usawa wa bahari boda kuna kilometa zakutembea aridhini kutoka kituo cha kwanza hadi kileleni.
Najua, kwamba mlima haupandwi straight, bali njia zake ni kama unaupanda kwa kuuzunguka.
Bado, hati ukiinyoosha hiyo mizunguko nado haitafika hizo 60 km alizozitaja
 
Ww ndo wale wale wachovu
Kwasababu hunijui, Ila ungenifahamu hata kidogo tu usingeongea hayo uliyoyanena dogo. Mi nimeongea in a very professional way, Kama kukulia kwako kwenye vijilima na vimabonde ukafananisha hali hiyo ni sawa na Mount Kilimanjaro pole sana.
Unajua zoezi linaloitwa SORROW NIGHT ambalo mimi nimelipitia mlima Kilimanjaro?
Kaa kwa kutulia dogo......
 
mimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,

mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
Kinachotakiwa ni kupanda mkuu sio waje wakina Dr Livingstone na tafiti zao ninyi watafiti wetu mpo hapa hapa mnatupa story tuu...
 
Kwani mlima una kilometer ngapi mpaka ufike juu?
Ingekua ni Km kama za Uyole mpaka Mbarali wengi wangeupanda na kushuka tatizo ni kubadilisha hali ya hewa mgandamizo wa hewa ndogo ya Oxygen kila unapoenda juu unapungua wengi wanaongea kwa hadithi na mlima upo Moshi tuu hapo...
 
Tatizo watu wanaiga wazungu wale wanaokuja kwa utalii na wengi wazee wanatembea kwa hockey wanaenda polepole na wapagazi walivyo wajanja wanakuwa mbele mwendo wa kobe

Mara upige picha,mara ushangae maji

Ila mlima masaa nane unaufuta
 
Back
Top Bottom