Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,613
- 3,383
Msisahau kuleta Updates tuone kama ataweza kuweka hiyo rekodi.
Assalaam Alaykum Shadeeya, mnatunyima nini Arusha aisee...!
Msisahau kuleta Updates tuone kama ataweza kuweka hiyo rekodi.
Kwasababu hunijui, Ila ungenifahamu hata kidogo tu usingeongea hayo uliyoyanena dogo. Mi nimeongea in a very professional way, Kama kukulia kwako kwenye vijilima na vimabonde ukafananisha hali hiyo ni sawa na Mount Kilimanjaro pole sana.
Unajua zoezi linaloitwa SORROW NIGHT ambalo mimi nimelipitia mlima Kilimanjaro?
Kaa kwa kutulia dogo......
Naona vijana wa chimala mnaanza kuleta mrejeshomimi binafsi kwa fani yangu ya jiolojia imeniwezesha kutembelea milima mingi katika tafiti za madini,
mlima kiliamnjaro nina uwezo wa kuupanda 24 hours bila utani and am serious
Wa aleykum salaam! 🙏 Hata hamna tupo tu.Assalaam Alaykum Shadeeya, mnatunyima nini Arusha aisee...!
Wa aleykum salaam! 🙏 Hata hamna tupo tu.
🙏🙏 🤝Nice to hear that, am glad...!
Hesabu za wapi hizi km 60= meta 5895?Unajua Ina umbali wa km ngapi?
Usichukulie zile meta 5895 kama ndo umbali wake hizo meta ni za mwinuko kutoka usawa wa bahari na umbali kutoka chini ya mlima na kilele Cha mlima ni habari nyingine, unaweza Kuta Kuna km 60 Sasa km60 utumie masaa 2?
Huna lolote kwanza unajua umri wangu mpaka useme mimi dogoKwasababu hunijui, Ila ungenifahamu hata kidogo tu usingeongea hayo uliyoyanena dogo. Mi nimeongea in a very professional way, Kama kukulia kwako kwenye vijilima na vimabonde ukafananisha hali hiyo ni sawa na Mount Kilimanjaro pole sana.
Unajua zoezi linaloitwa SORROW NIGHT ambalo mimi nimelipitia mlima Kilimanjaro?
Kaa kwa kutulia dogo......
Usiongee kitu bila ya elimu , si watu wote wanaweza kufanya rapidly addaptation ndiyo maana wanapanda kwa kupumzika kizungu wanaita "Acclimatization".Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Hongera sana mkuu.Huna lolote kwanza unajua umri wangu mpaka useme mimi dogo
Asante kwa kutoa hii elimu mkuu.Usiongee kitu bila ya elimu , si watu wote wanaweza kufanya rapidly addaptation ndiyo maana wanapanda kwa kupumzika kizungu wanaita "Acclimatization".
Ni kitendo cha kuufanya mwili uweze kuzoea mazingira ya kilele kadiri unavyozidi kwenda juu hii inaufanya mwili usiweze kupata madhara mfano kutoka damu kwenye kila tundu ya mwili au kwa kizungu huitwa "oozing" na hata madhara mengine yatakayopelekea kifo.
Nini kinatokea unapofanya acclimatization?
1. Mapafu huwa yanaongezeka ukubwa ili kuweza kuchukua hewa nyingi zaidi .
2. Kuongezeka kiwango cha chembe hai nyekundu hii itasaidia mwili kusafirisha oxygen nyingi kwa haraka .
3. Kuongezeka uwezo wa misuli kuhifadhi hemoglobin hii itasaidia uvunjwaji wa glucose kiukamilifu n.k
Kwanini sasa huyo muendesha baskeli katumia saa 24 bila ya acclimatization?
Theoreticaly ni kwamba kwa sababu jamaa ni muendesha baiskeli process ya acclimatization inatokea kwake naturaly kutokana na uendeshaji wa baiskeli (hasa hawa wanaofanya mashindano) huwa wana kiwango kikubwa cha redblood cells kwenye damu yao, wana mapafu mapana kuliko kawaida na pia misuli yao inahifadhi hemoglobin kwa wingi.
hivyo kwa kumalizia jamaa ilikuwa kwake si lazima ku acclimatize.
Ukifikiria kuna ukweli hapa 😄 km 6 mtu unapandaje siku 3Huo mlima ukianza saa moja asubuhi saa saba mchana utakuwa kileleni
Hizi zingine huwa ni biashara za wabeba mizigo kuwachelewesha wateja au wateja wasio kuwa na haraka na wenye bajeti kubwa
Acha uoga mzee,mlima uko overated sana ,mzungu ameprove hilo,tunachelewesha watalii ili tuwapige mpunga
Kilimanjaro unapanda na kushuka in 24 hours.
Unavijua vipimo vya umbali kweli wewe?
Unapoongelea 60 km una maanisha 196,000+ feets.
Ndege za abiria za masafa marefu huwa zinaruka 40,000+ feets.
Aircraft inayoruka umbali mrefu zaidi hadi sasa imeenda 70,000 feets.
Sijui hizo Km 60 unazoziongelea ni zipi mkuu?
Kilimanjaro unapandika vizuri sana in a day. Wanaopanda kwa siku 5 huwa inashauriwa hivyo kitaalamu ili mwili uwe una adopt mazingira taratibu kadili hali ya hewa inavyobadilika mtu anavyozidi kwenda juu.Have you tried? Kwa hiyo wanaopanda siku 5 wanazingua sio?
Kama hujabeba mzigo na unatemebea free bila kikwazo hapo sawaHewa lazima ibadilike mkuu km unakumbuka geography ya olevel kila unapopanda milima/mwinuko joto hupungua
Ila km wewe ni mtu wa mazoezi ule mlima masaa nane unatoboa vizuri tu
Nina experience
Panda sasa...acha ngonjeraMimi nimezaliwa na kukulia kwenye milima, utoto wangu tumekua tunashuka tunakimbia na kupanda mlimani sasa nashindwa kuelewa kinachofanya mlete vitisho.
Mimi sijawahi kufika hapo ila na uhakika kama njia naifahamu napanda kwa masaa hapo mpaka juu