Aolewa akiwa na miaka 60

Mie natamani kuolewa mara ya pili tu....
 
Raha sana kuwa na umri huo na kuolewa, hakika kuwahi kuolewa sio ndio kila kitu kuna fiesta nyingine unazikosa kabisa ukiwa ngunguri hadi miaka hii utakutana na kipi cha ajabu kikutishe??....
 
Huu uzi ni maalum kwa akina Dada above 30 without marriage kutiana moyo.Vizuri Sana.
 
Wanachanganyikiwa na ndo hadi ukiingia kwa gia ya kuoa unapewa hadi jicho..... akisumbua ndoa lini we mwambie unakusanya fungu la ndoa hutaki kutegemea michango.... unajipigia weeeeee ukichoka unasepa...
 
Papuch huwa haizeeki.wamama wenye 40 yes n watamu kuliko wadada wenye 20 years.unakuta mdada Ana miaka 20 but chuchu moja imeangalia east nyingine north.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…