Any Tanzania In Australia

Any Tanzania In Australia

Kevo

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2008
Posts
1,333
Reaction score
58
Hello Members,

I urgently require to get into contact with any Tanzanian in Australia.

Will much appreciate any response!

Thanks
 
Ungeelezea unataka nini? Maana mtu sio raisi kujitokeza tu
 
Kwa kusaidi ningekushauri ungeleza wewe binafsi upo wapi kwa sasa ,na kama unasafari ya kwenda Australia utafikia mji gani pia ungeuliza kama kuna uwezekano wa kukutana na wa TZ waliopo katika huo mji ikiwa unajuwa ,uwezekano wa kupata majibu ungekuwa mwepesi lakini kwa hivyo ulivyo uliza watu watakuminyia wengi siku hizi wanajiepusha kukaribisha wageni kwa kuhofia wageni wengie wamekuwa wanabeba VIPIPI
 
Kwa sababu wengine hawana shukran..
Kweli maneno yako, ila uwezi juwa yupi mwenye tabia njema na nzuri mpaka umkaribishe kwako. Kuna msemo mmoja unasema hivi: "Tenda wema wende zako..."
 
Kwelil; wengi sana hawana shukrani, halafu hupenda kujikweza na kujifanya wajuaji kuliko mwenyeji wao.
Mi nadhani ile dhana ya Utz aliotuachia Mwalimu imeshapita, watu siku hizi ni wabinafsi na utaifa wameuzika.
 
Kwelil; wengi sana hawana shukrani, halafu hupenda kujikweza na kujifanya wajuaji kuliko mwenyeji wao.

hapo kwenye nyekundu umenifurahisha na kunikumbusha mbali sana, wakati mtu anaangaikia safari bongo muda wote anakuwa kijiweni akipata story za anakokwenda, sasa tabu akifika na ukampokea baada ya siku moja naanza kuwa mwalimu wako na anasahau kuwa una nyundo kazaa hapo
 
Maisha magumu jamani, mtu hawezi kukaribisha mzigo tu. Wengine wanaishi ughaibuni zaidi ya miaka kumi hajawahi kumkaribisha hata mdogo wake!
Siku hz watu wanaskilizia kwanza-unashida gani, Kama umekwama sema utasaidiwa, lakn siyo kukaribishwa!!
 
Hello Members,

I urgently require to get into contact with any Tanzanian in Australia.

Will much appreciate any response!

Thanks
Mkuu wewe eleza unataka mtz ambaye yuko sehemu gani, maana australia ni kubwa sana, mfano ukipata mtz ambaye yupo Canberra halafu wewe uko Derby au broome sidhani kama ingekusaidia sana, labda ungeeleza uko wapi na kwa minaajili gani.
Tafadhali unatakiwa kueleza zaidi wahitaji nini toka kwa mtz huyo.
 
Back
Top Bottom