B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,573
- 3,255
kunywaa mafuta ya mzaituni...hivi kumbe hili nitatizo now days,sasa we asubui unakunywa chai na slesi moja,mchana chips mayi jioni chips mshikaki,ukija kwa joice akili yako iko kwenye tendo tu utaacha kukojoa ka kuku unaingia moa mbili wzangu hao,mkiwa mna duu acheni kuweka mawazo yote tunduli au badilini mikao mara kwa mara utachelewa,shishauri viagra walaa nini