Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

Eti napoteza resources kuwahudumia! Ujue wewe huna uwezo huo wa kiuchumi, bado unajitafuta tu na pole sana.
Tafuta hela kijana utaacha kulia lia vinginevyo wanawake wazuri Duniani utaishia Kuwaita mashemeji.
Kwanza sibishani na mtu anayefugwa na pia kubattle na chizi mimi nitaonekana ndiye chizi.
Vipi shemeji ametoa hela ya matumizi hapo nyumbani ili dada akulishe wewe feed spoon?
Dogo wewe ndio chizi,

Badilisha mentality yako,let me give you a piece of PRECIOUS ADVICE.

Ngono ni kama njaa there is no a day utakula na kushiba usisikie njaa tena.So with that fact lazima ujifunze kucontrol your SEXUAL URGES.Marrying many wife or having as many women as you can cant solve your sexual urges, its you who is responsible to put a stop whenever necessary!!

🚨Am curious, why at first are you soo conserned with marriage issues of your idiot friend🤔
 
Ni ngumu sana kumjua mtu aliyesahihi wakumuoa na ambaye hayupo sahihi. Kwani mwanzo wa game Kila mtu huficha makucha yake ila mkishazoeana tu mambo yanabadilika.
Hakuna aliyesahihi ila kuna yale mapungufu yanayovumilika
 
Ni ngumu sana kumjua mtu aliyesahihi wakumuoa na ambaye hayupo sahihi. Kwani mwanzo wa game Kila mtu huficha makucha yake ila mkishazoeana tu mambo yanabadilika.
Kwa hilo uko sahihi, ila ni vyema kuchunguza kwa kina hadi mzizi wa ukoo wa ukweni kabla ya ndoa, dada wote wa mke mtarajiwa kuna shida yoyote katika ndoa zao? Baba mkwe na mama mkwe wanaishi vipi, hawana migogoro ya mara kwa mara? Dada zake wana watoto waliowazalia nyumbani kabla ya ndoa zao? Ukoo wao unaishi vyema na jamii? Udokozi, uzinifu, uchawi, gubu la mdomoni, wana hofu ya mungu na vingine vingi?
 
Mwanadamu huwa anajawabu kwa matatizo au maswali yote aliyenayo.Wewe😄😄( ambaye unatumia kivuli cha jirani yako) stop f*cking around!!!

Fanya maamuzi ya kiume,nadhiri yako ilishaamua nini cha kufanya,ila wewe unataka kuipinga,so you are here looking for backup....

Stop being soft,live your life,young soft boy.Life ni la kwako hakunaga kitu kama ushauri,kwasababu we differ the defficerences,Sawasawa bwanamdogo?

📌Welcome to the board,only those with true intentions survive!!!

📌The game is brutal, but still fair!!!

📌Its either your using someone or being used,the choice is yours.
Kaleta mada kamekuja kutia tia huruma hapa ilihali tayari kana majibu yake kichwani, ukweli mchungu Nice men hula vitasa kila kukicha kwa Ke lakini bado tu huendelea kukaza mafuvu.
 
Fuatilia posts zangu, kabla ya hii siku moja nyuma nilipost raha ya kuwa na mke zaidi ya mmoja na kuwashauri vijana waoe na sijawahi jutia kufanya hivyo, huyo ni jirani na hulazimishwi kuamini kwa sababu huenda wewe ni Tomaso, tatizo unaamka na hangover za pombe za mataputapu huku maisha yakiwa yamekulalia.
Lazima akili ikuhame na bado mpaka 2030 maji utaita mma.
Mama shikilia hapo hapo!
Unadhani Me akiwa na Ke hata 1000 ndiyo hatakutana na mbabe wake hadi kupoteza control ya love kwa kumpenda sana mmojawapo kati ya wote hao? Kalaghabao...!!!!
 
Akipewa mimba huko atakuja kumtegeshea jamaa ili alee.
Jamaa hawezi kukubaliana kabisa kumrudia, hivi alikuwa anafikiria kuwa akimrudisha kwao amuendee kwa mganga mwanamke abadilike kuwa kichaa, anadai kamgharamia sana mtoto wa mwanamke kipindi anaumwa hivyo anaumia sana kwa malipo anayopewa.
 
Jamaa hawezi kukubaliana kabisa kumrudia, hivi alikuwa anafikiria kuwa akimrudisha kwao amuendee kwa mganga mwanamke abadilike kuwa kichaa, anadai kamgharamia sana mtoto wa mwanamke kipindi anaumwa hivyo anaumia sana kwa malipo anayopewa.
Aachane na mambo ya waganga ni uzembe wake mwenyewe, na hayo malipo kayasubiri mpaka yamefikia hapo.
Kama anataka kuendelea na majuto basi aanze hizo mambo za kulipa kisasi.
 
Back
Top Bottom