Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

Kenge(NICE MEN) hazisiki mpaka wapewe vipondo vitakatifu.

MKIAMBIWA KATAA NDOA HAMTAKI. BLADI SHWAINI KAMA ULIVYOKUWA UNAOA HUKUJA KUOMBA USHAURI.TIME HII KIMEKURAMBA UGULIA MAUMIVU KIMYAKIMYA,GADEMIT!!!

#kataa ndoa 3- 0 Nice men!!!
 
Kwa hiyo hapo ndio umemaliza kumshauri jirani yangu ambaye tayari limemfika?

Hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi na sidhani kama hata vikao vya ukoo unashirikishwa.
Ukoo unajilaumu kupata dubwasha kama hili.
 
Habari na poleni na uwajibikaji!

Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine.

Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni mwa mwaka 2025 (mwaka jana) mtoto alianza kuugua ugonjwa usiojulikana kwa maana ya kukosa matibabu sahihi japo si kwa uhaba wa pesa za matibabu, wazazi walimtaka baba mzazi wa mwenye mtoto amchukue mwanae naye akamhangaikie matibabu baada ya jitihada za matibabu kushindikana.

Isivyokawaida na cha kushangaza, mke akiwa kwenye ndoa yake alipewa taarifa na baba wa mtoto (mvuvi na raia wa Zambia) kuwa "Mama P njoo uchukue mzoga wako", aliambiwa hivyo si kwa maana ya tayari mtoto kuwa amefariki baada ya yeye kushindwa matibabu na lugha iliyotumika si rafiki na haifai.

Mke alimfuata mtoto wake na hatimaye kuja naye huku waishiko na mme wa ndoa, jirani yangu kwa huruma aliyokuwa nayo na mahusiano mazuri aliyokuwa nayo dhidi ya wakwe zake, jamaa amepambana iwe usiku iwe mchana, iwe jua iwe mvua na sehemu kubwa kama siyo yote ya fedha za malipo ya Ufundi ujenzi (yeye ni fundi) alizitosa kuokoa uhai wa mtoto wa mke wake, amethubutu kumpeleka mpaka hospital kubwa lakini bado hali ya mtoto haikuwa sawa, aliamua kuzifuata tiba mbadala zilizo na ramli chonganishi aliambiwa kuwa mtoto karogwa/ndagu kwa ajili ya baba yake mzazi kuwin kwenye uvuvi, na hatimaye mwezi October mwaka jana mtoto aliumaliza mwendo (R.I.P).

Baada ya mtoto kufariki mama alibadilika kabisa kitabia, hapiki, hatulii nyumbani na kuna muda anarudi asubuhi, hafui nguo za mmewe, hafanyi usafi wa mazingira hapo walipopanga na hata kumzalia tu mtoto kwa miaka 3 waliyoishi hayuko tayari. Kipigo mara kadhaa amekipokea na hajirekebishi japo kipigo sio suruhu. Mwanamke hajutii fedha nyingi alizozitoa kwa awamu tofauti kugharamia matibabu ya mtoto wake.
Majirani tunasikia tu mara anatembea na dreva bodaboda, mara maafisa usafirishaji wa stand yaani ni taflani tupu.

Baada ya kusimuliwa na jirani huyo leo hii nimeumia sana kwa anachopitia mwanaume mwenzangu, na hata mimi kutoa ushauri amtafutie nauli mguu kwa mguu amrudishe kwao japo si ushauri bora kwa wana ndoa kuachana lakini enough is enough!!

Wanaosema hii chai tupilia uko na tuwapuuze! kinachotakiwa ni kushare mawazo namna bora ya kufanya kumnusuru huyu jirani, muda huu tena mkewe katoka kaenda anakoshinda, na marafiki zake inasemekana ni wauza bar, grocery na wahudumu wa guest houses.
Jamaa alipanga leo akifika amtupie kila kilicho chake nje ajiendee kwao lakini tumempoza kuwa asifanye hivyo bali ampeleke kwao ili kuepuka kesi ya wazazi kudai kupotelewa na mtoto wao akiwa kwa mme.

Ndoa ngumu jamani japo sisi wenye wake wawili hayatufiki haya.

Vijana sishauri mkatae ndoa kwa kuhofia hizi changamoto, oeni tu ila kwa kufanya upembuzi wa kina kwa kufuatilia historia ya ukweni kwao endapo kama ni familia zenye maadili au laah!
Step father is aman that woman would not date if they didn't have kids
 
Wanawake wapo Kwa ajili ya interest hakuna loyalty Kwa hao Viumbe na ni wakatili sana

Jamaa apige Chini haraka sana kabla hatari zingine hazijatokea
 
Kwa hiyo hapo ndio umemaliza kumshauri jirani yangu ambaye tayari limemfika?

Hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi na sidhani kama hata vikao vya ukoo unashirikishwa.
Ukoo unajilaumu kupata dubwasha kama hili.
Mwanadamu huwa anajawabu kwa matatizo au maswali yote aliyenayo.Wewe😄😄( ambaye unatumia kivuli cha jirani yako) stop f*cking around!!!

Fanya maamuzi ya kiume,nadhiri yako ilishaamua nini cha kufanya,ila wewe unataka kuipinga,so you are here looking for backup....

Stop being soft,live your life,young soft boy.Life ni la kwako hakunaga kitu kama ushauri,kwasababu we differ the diffecerences,Sawasawa bwanamdogo?

📌Welcome to the board,only those with true intentions survive!!!

📌The game is brutal, but still fair!!!

📌Its either you are using someone or being used,the choice is yours.
 
Mwanadamu huwa anajawabu kwa matatizo au maswali yote aliyenayo.Wewe😄😄( ambaye unatumia kivuli cha jirani yako) stop f*cking around!!!

Fanya maamuzi ya kiume,nadhiri yako ilishaamua nini cha kufanya,ila wewe unataka kuipinga,so you are here looking for backup....

Stop being soft,live your life,young soft boy.Life ni la kwako hakunaga kitu kama ushauri,kwasababu we differ the defficerences,Sawasawa bwanamdogo?

📌Welcome to the board,only those with true intentions survive!!!

📌The game is brutal, but still fair!!!
Fuatilia posts zangu, kabla ya hii siku moja nyuma nilipost raha ya kuwa na mke zaidi ya mmoja na kuwashauri vijana waoe na sijawahi jutia kufanya hivyo, huyo ni jirani na hulazimishwi kuamini kwa sababu huenda wewe ni Tomaso, tatizo unaamka na hangover za pombe za mataputapu huku maisha yakiwa yamekulalia.
Lazima akili ikuhame na bado mpaka 2030 maji utaita mma.
Mama shikilia hapo hapo!
 
pole yake huyo jamaa,. ila kwa kiasi fulani nimeona ndoa kadhaa za ndugu zngu Watanganyika waliooa malawi na zambia,wanawake mwanzo huwa wanautulivu na upole ila wakishakuwa wenyeji wale ni washenzi sana! kuchepuka kwao ni kitu kdg.. mwambie afukuzie mbali atafute mke hukuhuku kwetu mbona kunamali safi tu.
 
Fuatilia posts zangu, kabla ya hii siku moja nyuma nilipost raha ya kuwa na mke zaidi ya mmoja na kuwashauri vijana waoe na sijawahi jutia kufanya hivyo, huyo ni jirani na hulazimishwi kuamini kwa sababu huenda wewe ni Tomaso, tatizo unaamka na hangover na pombe za mataputapu huku maisha yakiwa yamekulalia.
Lazima akili ikuhame na bado mpaka 2030 maji utaita mma.
Mama shikilia hapo hapo!
Ungekuwa inteligent kama unavyojitapa, usingehangaika na huyo fala mjinga mmoja wa kumuita jirani yako( wewe) you are a looser young man,f*cking looser!!!

Ukibadilisha mentality yako,hata hao takataka unaita wake wengi ni kitu kinakudrain alot of energy and resources to keep up with, kwasababu being a looser umeshindwa kucontrol your sexual urge( pleasure/nonsense) na sasa unapoteza resources nyingi kuwahudumia hao f*cking parasites, while your future is standing aside awaiting you to get in your f*cking senses!!!

B*tch young ass n*gger stop tripping, keep your head up and start thinking and be serious with your future!!!
 
Hv ishu n ndoa au kuwa na mwanamke asiye sahihi sasa hapa ndo mbaya zaidi umuoe huyo mwanamke 😂

Mm sijui kama ntaoa labla nikipata huyo mwanamke atakayenipeleka huko kwenye ndoa ila najiona kabisa nakwenda kuwa na familia bila ndoa.
 
Ungekuwa inteligent kama unavyojitapa, usingehangaika na huyo fala mjinga mmoja wa kumuita jirani yako( wewe) you are a looser young man,f*cking looser!!!

Ukibadilisha mentality yako,hata hao takataka unaita wake wengi ni kitu kinakudrain alot of energy and resources to keep up with, kwasababu being a looser umeshindwa kucontrol your sexual urge( pleasure/nonsense) na sasa unapoteza resources nyingi kuwahudumia hao f*cking parasites, while your future is standing aside awaiting you to get in your f*cking senses!!!

Bitch young ass n*gger,stop tripping keep your head up and start to think and be serious with your future!!!
Eti napoteza resources kuwahudumia! Ujue wewe huna uwezo huo wa kiuchumi, bado unajitafuta tu na pole sana.
Tafuta hela kijana utaacha kulia lia vinginevyo wanawake wazuri Duniani utaishia Kuwaita mashemeji.
Kwanza sibishani na mtu anayefugwa na pia kubattle na chizi mimi nitaonekana ndiye chizi.
Vipi shemeji ametoa hela ya matumizi hapo nyumbani ili dada akulishe wewe feed spoon?
 
Hv ishu n ndoa au kuwa na mwanamke asiye sahihi sasa hapa ndo mbaya zaidi umuoe huyo mwanamke 😂

Mm sijui kama ntaoa labla nikipata huyo mwanamke atakayenipeleka huko kwenye ndoa ila najiona kabisa nakwenda kuwa na familia bila ndoa.
Hawa wanaokurupuka bila kuchunguza endapo ni machaguo salama wanawakatisha vijana na kuona ni bora kukataa ndoa.
 
pole yake huyo jamaa,. ila kwa kiasi fulani nimeona ndoa kadhaa za ndugu zngu Watanganyika waliooa malawi na zambia,wanawake mwanzo huwa wanautulivu na upole ila wakishakuwa wenyeji wale ni washenzi sana! kuchepuka kwao ni kitu kdg.. mwambie afukuzie mbali atafute mke hukuhuku kwetu mbona kunamali safi tu.
Jamaa ni Mnyaturu sasa sijui kaona wanawake wa kinyaturu ni zero kabisa, matokeo yake kakutana na alichokitaka, mtoto wa kizambia li dada lipole hivi ila kitabia hatari tupu.
Usiku wa leo jamaa kajibutulia kipigo kisichomithilika.
Duuuh ndoa hizi bwana.
 
Back
Top Bottom