Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini akiwa kwenye boti ya Azam

Habari inasema anusurika wadau wanacomment Rip mbona sielewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari kabla ya kuiweka hapa nilimpigia Baharia mmoja wa Kilimanjaro (jina kapuni) yeye ndie alienithibitishia tukio na akanambia kwamba amefariki dunia. Cha kushangaza Ma Mod wakaubadilisha na kuandika amenusurika. There must be some cover up!!
 
IMG-20190212-WA0030.jpeg
 
Yap ni kweli. Halafu kwa mujibu wa video mabaharia wa Azam walichukua muda mrefu kumuokoa ni kama vile hawakua na ujuzi au uzoefu na matukio ya dharura. Kumbuka pia kuna siku watu karibia ya 15 walifariki baada ya boti ya Azam iliyokua ikitokea Pemba kupigwa na dhoruba ya wimbi. Na inasemekana boti haikusimama.
Video yake ninayo unaweza ukacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli yafaa kumwombea dua kwa maana kilicho msibu mjuzi ni mola wake na muhusika mwenyewe, tusimuhukumu moja kwa moja kuwa amekosea.
Hayo baadhi huwatokea watu kwa sababu ya magonjwa ya akili, misongo ya mawazo na mara nyengine ulozi pia huhusika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa ndugu yangu.

Wengine hukimbilia kumjudge mtu wakati wao wenyewe hawajui safari yao itakuwaje.
 
Back
Top Bottom