Hiyo ni machine ya nn kwanza wengine wageni hapaHabari wakuu!
Anaejua zaidi hizi mashine ubora wake upatikanaji wake pia faida na hasara ya bitcoin..
Pia nasikia zinaconsume umeme mbaya na kelele kama engine ya trekta.
Anaejua zaidi naomba unieleweshe