Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,832
Watu wa Cryptocurrency wamekumbwa na tukio la Kushtukiza baada ya jukwaa la biashara ya sarafu za kidigitali Binance (cryptocurrency) kudukuliwa.😱💰
View attachment 3701700
Taarifa zinazosambaa zinadai kuwa zaidi ya dola bilioni 6.3 ($6.3 BILLION) zimeibwa, zikiwemo Bitcoin (BTC), Ethereum, USDT, USDC na sarafu nyingine za kidijitali.
🔓 Wadukuzi waliingiaje?
Uchunguzi wa awali wa Binance unaonyesha kuwa shambulio lilianza kupitia kompyuta ya mfanyakazi wa kitengo cha DevOps iliyokuwa imeingiliwa na wadukuzi.
Iliwawezesha washambuliaji kufikia mifumo ya huduma na kuanzisha miamala ya kutoa fedha bila ruhusa.
🛡️ Je, fedha za watumiaji zimepotea?
Binance imesema itafidia hasara zote zinazo husiana na tukio hilo kwa kutumia mfuko wake wa SARAFU pamoja na fedha za kampuni.
Hackers kila mara wana buni mbinu mpya unasemaje kuhusu tukio hili 👋 ?