POSITIVE ENERGY
Member
- Oct 29, 2024
- 20
- 33
Wakati dunia inabadilika na kuanza kutumia magari ya umeme kwa kiwango kikubwa ili kulinda mazingira , lakini kwa hapa Tanzania swala hili sio kipaumbele sana hata uagizwaji wa magari ya umeme ni mdogo.
Kuna gari ya umeme ambayo unauwezo mkubwa wa maswala ya tech kama dunia inavyotaka na ni gharama nafuu lakini watu wanaona bora anunue IST kwa gharama kubwa zaidi.
Je shida kubwa ni serikali kuelekea mabadiliko haya ?
Au kuna watu wanataka walinde biashara zao za mafuta ?
Au pia inaweza kuwa upatikanaji wa umeme ndio tatizo.
NB:Gharama za hendeshaji wa gari ya mafuta naona ni ghali zaidi kuliko ya umeme.