Habari wadau,
Ninatafuta kifaa ambacho kitaweza kunibadishia umeme single phase kwenda three phase kwa ajili ya mashine ya kusaga. Mahala kulipo na mashine hakuna umeme mkubwa, upo wa kawaida wa matumizi ya nyumbani.
Kwa anaejua napoweza kupata hiki kifaa ambacho kinaitwa variable frequency drive(VFD) naomba tuwasiliane zaidi PM. Ahsante sana wakuu