denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Tehehehe hehe he mkuu huu ugomvi utaumudu humu.?Lowassa kama Yesu, ila sio Yesu.
Ni kama Yesu vile aiseeee...
Tehehehe hehe he mkuu huu ugomvi utaumudu humu.?Lowassa kama Yesu, ila sio Yesu.
Ni kama Yesu vile aiseeee...
Sidhani kama kunywa pombe ni dhambi pia tambua kuwa Lusekelo ni binadamu kama wengine so sioni ajabu hata kama alikunywa pombe maana pombe ni sehemu ya chakula maana hata kwenye amri kumi za mungu hakuna palipo kataza pombe!Ulimnywesha?
Ulikuwa waiter..?
Kati ya wanajamiiforum ninaowadharau hapa Jamiiforum ni huyu Simiyu yetu. Laiti kama angekuwa anamwabudu mungu asingekuwa na akili uharo kama hii.Ulivyovaa unaonekana mtu smart .....
Lakini unayoyaongea yanaonyesha kama vile unasaidiwa uwezo Wa kufikiri.....
Carefull: karibu utakuwa kama yule askofu wa "umekula maharage ya wapi"...Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
...Wengine huwa WAMEJIFUNGIA kwenye Milango ya maGrili na MAKUFULI wakati wanainywa (pombe) hasa aina ya John Walker..Pombe mbona wengi wanakunywa? Haina uhusiano na alichokisema
Mbona mapadre wanakunywa pombe kila siku hamuwaiti walevi?Hili lilevi nalo vipi.
Unatakakuniambia huyo ndio lusekelo?
Heri mlevi mwenye busara kuliko kiongozi mpumbavuHili lilevi nalo vipi.
Jadili hoja, usimjadili mtolewa hoja.Inawezekana ukomo wake unakaribia, Mungu wa kweli hawezikuwaficha watu kama hawao!
Usifamfananishe Cardinal na vitu vya ajabu.Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
Cardinal kwani yy ni nani asifananishwe na mtu!Acha kumfananisha Cardinal na mambo ya kijinga
Kile kipimo hata Kama umetoka saluni ukaoshwa na spirit nyweke kitasoma una kilevi.Kazi yake Ni kusoma alcohol hata Kama umekula zabibu au ndizi mbivu kitaonyesha umelewaSi alipimwa mkuu, akakutwa ana alcohol 131 mara ya kwanza, then 121 mara ya pili...
Wewe sema ni kwamba kasema ukweli tu kuhusu hawa viongozi!
......and the wisdom lies under the Vintage....There is wisdom in wine
...Kwa sababu SIYO WALEVI. Ni wanywaji (tu) wa Pombe..Mbona mapadre wanakunywa pombe kila siku hamuwaiti walevi?
Hajawahi tamka hata siku moja kanisani kwake kwamba bapa isitike.kwani kuna uhakika alilewa? amesema ukweli mnamnanga.