Anthony Lusekelo: Lowassa mtu safi

Anthony Lusekelo: Lowassa mtu safi

Shida tuna matatizo ya akili, kuna tatizo gani kutolea ufafanuzi jambo ambalo umezushiwa?
Ukikuta mtu anasoma magazeti ya udaku tambua huyo mtuu ni muongo, mbea na uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kiasi kwamba hawezi kuhojii.
 
Kwa kweli hata mimi nasubiri kwa hamu siku huyu mheshimiwa atakapofikishwa kwenye mahakama ya mafisadi ili nijue ni nini hicho alichokifanya kikawasukuma wapinzani na wenzake wa chama tawala kumwita fisadi. Nadhani ni mwanasiasa anayeshikilia rekodi ya kuitwa fisadi kwa muda mrefu zaidi - i.e. toka enzi za Mwalimu za kumtafuta rais wa awamu ya tatu.
 
Mtumishi wa Mungu hasemwi vibaya ila unaacha Mungu atafanya atakavyo. It's advisable not to talk ill of Pastors as God knows how to handle them.
Umesema kweli. Kwanza kupiga kinywaji hata Nuhu ambaye alikuwa anazungumza na Mungu directly alikuwa atakamata masanga na bado Mungu hakumuacha.
Hata akipolewa na kukaa uchi tunaona lililompata mwanae aliyemchungulia na kucheka baada ya kuona kende za mzee.
Kulewa siku moja kwa mzee wa upako is not a big deal kiasi cha maneno ya maana kuhusu ccm na kina Lowasa na Kingunge kutotiliwa maanani
 
Huyu mzee wa upako mjanja sana, hapo badala ya watu kuendeleza mjadala wa ulevi wake kitakachofuata ni matamshi yake kuhusu Lowassa ndio yatakayojadiliwa, kausoma mchezo vizuri anajua kucheza na mind za watu!
Kwa kuwa idadi kubwa wanamsapoti Lowassa anajua ili kufuta ile aibu ni kugusa pale ambapo wengi watasapoti!!
Chezea bapa wewe, Bapa inaongeza I.Q...
Lowasa ni jina kubwa!ahahaha
 
Hata wale watesi wake,wanayayenda hayo mioyo yao ikijua wanayoyafanya ni maonevu na kukomoa lkn mungu anajua nn atalipa
 
Jina Lowasa ni kubwa na ni mtaji kwa vijana wa Lumumba, njaa ikiwazidi kwa kukosa hoja za kupost humu lazima watunge chochote na kulitaja hilo jina ili wakinge buku 7. Huyu cha pombe naye baada ya kuelemewa na ile kashfa ya ulevi na kutishia kuua jirani zake ameona naye atumie jina hilo ili kupunguza makali ya kashfa yake.Hatudanganyiki.
 
Back
Top Bottom