Robert Kasaki
Senior Member
- Nov 12, 2014
- 196
- 105
alikuwa ameonja ile mikono juu??
Unalijua unaloongea? Rudia utafiti wako kuhusu hilo! Kakobe mwacheni, mmemshindwa na mtaendelea kumshindwa kabla Mungu hajamtwaa hapa Duniani!Mwisho wa Lusekelo unakaribia. Kama Kakobe vile.
UPUMBAVU inaelekea ndicho kipaji ulichonacho! BAVICHA wanaingiaje hapa? Kila anaepingana na mawazo yako ni BAVICHA? HATA HIVYO ASANTE KWA KURNDELEA KUWAOGOPA BAVICHA!Jamaa ana akili sana kaona akiponda bavicha Na ndio wamejaa mtandaoni atapotea mapema
Saiv bavicha wanaoji " mna uhakika alikuwa amelewa?
Na EL ilikuwa hivyo hivyo walimuimba ni fisad alipokuwa ccm kaamia kwao wanakuja Na kauli za kuwa ni mtu safi.
Hongera sana Antony umecheza kama nemanja matic....
Unalijua unaloongea? Rudia utafiti wako kuhusu hilo! Kakobe mwacheni, mmemshindwa na mtaendelea kumshindwa kabla Mungu hajamtwaa hapa Duniani![/QUOT
Mahaba tu mbele ya Ukweli ni kujisumbua
Totally misinformed! Mahaba peleka chumbani kwako!Mahaba tu mbele ya ukweli ni kujisumbua
Hang over imekwishaPombe Imetoka kichwani?
Mkuu changia nn Mchungaji alichonena...Hili lilevi nalo vipi.
Ulishawai kusikia Pengo anatishia kuua mtu adharani?Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
Uliwahi kuona mapadre wakishakunywa pombe zao wanafunga njia wangine wasipite au wanawatishia wenzao wakiwakuta popote watawaua?usilinganishe mafundisho ya mungu na mafundisho ya waganga wa kienyeji waliostarabika,kuna tofauti gani kati ya Dr.Mwaka na mzee wa upako?ukiendelea kutusumbua tutatoa siri za mtu wako alipatia wapi uchungaji wake***
UENDA WEWE UKAWA NA UOVU MBAYA KULIKO HUYU MNYWAJI WA DIVAI.
n.b:- kama kuilaani pombe kwanza tuwachukie mapadre wa kiroma maana kwao pombe ni kitu cha kawaida na sio najisi,alimradi kisizidishwe.
"Mitungiii, mikasiii, Ooo yeah, kama ukitaka kuvinjari nafsi, basi nawe roho yako iwe safiii"Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
Huyu Mlevi anatetea mlevi mwenzie.....anatishia kuua? hawa manabii wa chadema...dah...TB,Gwajima,kakobe na huyu Lusekelo...kweli chadema kanisa.Mzee wa upako ana busara sana kuliko hata kardinali pengo
***Uliwahi kuona mapadre wakishakunywa pombe zao wanafunga njia wangine wasipite au wanawatishia wenzao wakiwakuta popote watawaua?usilinganishe mafundisho ya mungu na mafundisho ya waganga wa kienyeji waliostarabika,kuna tofauti gani kati ya Dr.Mwaka na mzee wa upako?ukiendelea kutusumbua tutatoa siri za mtu wako alipatia wapi uchungaji wake
Kuna wisdom kwenye bapa pia?There is wisdom in wine