mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,008
- 5,413
mkuu, umetumia vyema kichwa chako.shukraniAnataka kutusahaulisha tukio lake . hana lolote ni mpiga dili huyo.
mkuu, umetumia vyema kichwa chako.shukraniAnataka kutusahaulisha tukio lake . hana lolote ni mpiga dili huyo.
..Asikilizwe!Mzee wa upako yupo sahihi kwa 101%. Anayempinga akapimwe akili.
Hakuna rangi tutaacha ona! Ukata unatudili kiroho safi,yote tutasemaKila neno litanenwa, ila na kila goti litapigwa.
Ndio wadudu gani hawa mkuu? Unamjua nzee wa upako?Hivi kitwa na Luse nani mkali wa kupiga vyombo?