Answar sunna pokeeni maua yenu


Uko sahihi na sio hao peke yao; ukitaka uwe na amani kwenye Biashara yako yeyote ajiri Muislam (awe ni Muislam anayesali sio wale wa majina tu) Utanishukuru baadae!
 
Uko sahihi na sio hao peke yao; ukitaka uwe na amani kwenye Biashara yako yeyote ajiri Muislam (awe ni Muislam anayesali sio wale wa majina tu) Utanishukuru baadae!
Wale wengine wajanja wajanja Sana usiwaamini kirahisi!
 
WAMJUE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAO

NI HILO WAMEBAKISHA KUWA SAWA.

Wavue makobazi na kuyaweka kando
Yeye mwenyewe alishindwa kujiokoa msalabani.atawwza kuniokoa Mimi?
 
Palipo na muislamu mwenywe kuushika uislamu wake mahali popote ni baraka kwa watu wa mahali hapo.
1. Ukimkopa atakukopesha bila riba
2. Ukimpa amana yako atakutunzia
3. Ukishikwa na dharura atakuwa ktk line ya watoa msaada
 
Tanzania kuna Sunni, Shia na akina nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…