Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,757
- 3,258
Tatizo majiniWana roho ngumu(mbaya?)hao watu si mchezo.Kuna mmoja aliudhiwa kidogo tu akajimwagia mafuta ya moto yaliyokuwa kwenye karai la kukaangia chipsi.
Tatizo majiniWana roho ngumu(mbaya?)hao watu si mchezo.Kuna mmoja aliudhiwa kidogo tu akajimwagia mafuta ya moto yaliyokuwa kwenye karai la kukaangia chipsi.
Alipona?Wana roho ngumu(mbaya?)hao watu si mchezo.Kuna mmoja aliudhiwa kidogo tu akajimwagia mafuta ya moto yaliyokuwa kwenye karai la kukaangia chipsi.
Huko alipozaliwa Yesu mwenyewe ukristo haupo na hawataki kuuskia we umezaliwa kazuramimba unajidai unajua kuchomekea mayenu na kutembea na bibliaWAMJUE YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAO
NI HILO WAMEBAKISHA KUWA SAWA.
Wavue makobazi na kuyaweka kando
Aliungua na kuchubuka ngozi kuanzia kichwani, mabegani,kifuani hadi baadhi ya sehemu ya tumbo ila alipona hayo majeraha.Alipona?
Kuna imani huharibu akili.Aliungua na kuchubuka ngozi kuanzia kichwani, mabegani,kifuani hadi baadhi ya sehemu ya tumbo ila alipona hayo majeraha.
Umechanganya mambo. Kuna mkristo anayedanganya watu kuwa kashika dini, na kuna mkristo aliyeshika dini kiukweli. Aliyeshika dini kiukweli, hawezi kukosa uaminifu.Ki msingi ukikuta Muislamu aliyeshika dini vizuri ni muaminifu sana kuliko Mkristo aliyeshika dini. Mimi ni Mkristo pia.
Wanachukua size zao ila wanakata kwa chiniHivi zile suruali huwa wanachukua za watoto wadogo kulinganisha miili yao?