Answar sunna pokeeni maua yenu

Answar sunna pokeeni maua yenu

Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana!!!!
Pokeeni maua yenu!!!

Uko sahihi na sio hao peke yao; ukitaka uwe na amani kwenye Biashara yako yeyote ajiri Muislam (awe ni Muislam anayesali sio wale wa majina tu) Utanishukuru baadae!
 
Uko sahihi na sio hao peke yao; ukitaka uwe na amani kwenye Biashara yako yeyote ajiri Muislam (awe ni Muislam anayesali sio wale wa majina tu) Utanishukuru baadae!
Wale wengine wajanja wajanja Sana usiwaamini kirahisi!
 
Palipo na muislamu mwenywe kuushika uislamu wake mahali popote ni baraka kwa watu wa mahali hapo.
1. Ukimkopa atakukopesha bila riba
2. Ukimpa amana yako atakutunzia
3. Ukishikwa na dharura atakuwa ktk line ya watoa msaada
 
Back
Top Bottom