Ansbert Ngurumo na Dkt. Minja mubashara kwenye Al Jazeera

Sa

Sawaa...dhihaka na kejeli tumeipokea...ngoja tuendelee kusubiria breaking news kwenye ukurasa wa kigogo
Kigogo anaweweseka tu,kapoteza Nyumba yake,Basi hasira zote kwa Magu! Mwambieni ajenge nyingine,lakini isiwe kwenye eneo la barabara, maana Magufuli atamliza tena!!
 
Nimewasikiliza; kwa kweli nimevutiwa na jinsi wanavyoimudu lugha ya Kiingereza. Pongezi nyingi kwa hao Watanzania wenzetu.
 
Kipindi ni The Stream.

Kinaongozwa na Femi Oke.

Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.

Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.

Kwani tukisema Corona ipo tunapata faida gani? Huko wanaposema ipo wanapata faida gani? Watu huko wanakotangaza Corona IPO wanakufa kama kuku wanaomwa kideli.kama dawa ingekuwepo na tukakataa kuwa Corona haipo ( japo hatujasema haipo) tungekuwa tumekosea sana.sasa ligonjwa lenyewe halina dawa.unawambia watu kuwa kuna gonjwa na halina dawa and then?? Mmenunuliwa ili kutangaza soko la chanjo.pumbavu zenu.
 
Rais Magufuli kakosea sana kwenye suala la PR kwa kudai COVID-19 haipo nchini.

Huwezi kudai kitu hakipo, hususan ugonjwa unaosababishwa na ki/virusi [ambavyo havionekani], bila ushahidi.

Rais Magufuli ni mwanasayansi wa wapi yeye?

Mimi bado naamini C-19 si kali wala hatari kama inavyotangazwa, lakini hiyo haina maana watu wasichukue tahadhari, hususan wale walio medically fragile.
Nani alisema watu wasichukue tahadhari? Rais hajawahi kusema kuwa Tanzania hakuna corona! Ndiyo maana mwaka Jana shule na vyuo vilifungwa.
Lakini anachokisema Rais Ni kwa sisi k ama Tanzania hatutaiga Wala kushinikizwa tufuate mbinu na taratibu za kupambana na corona za mataifa mengine. Tutatumia mbinu zinazoendana na Hali halisi ya mazingira yetu na hali yetu. Ndio maana tulikataa lockdown na tukaacha kutangaza data za Corona kwa sababu zilikuwa zinatumiwa kuleta hofu
na wazungu walikuwa wanasema kabisa kuwa tutaokota miili barabarani.
Utaratibu uliotumika kwanza ni kuomba Mungu aliyeumba mbingu na nchi ili atuponye na corona Kisha kuchukua tahadhari zinazoendana na Hali na mazingira yetu Kama kunawa mikono, kutumia barakoa za kujishonea wenyewe nk.
Matokeo yake Mungu alituponya na corona, shule na vyuo vikafunguliwa na maisha yakaendelea Kama kawaida.
Mwaka huu limekuja tena wimbi jipya la corona duniani. Virusi wa aina mpya toka Uingereza na Afrika ya kisini.
Rais akasema utaratibu tuliotumia mwaka Jana na Mungu akatuponya tuutumie Tena mwaka huu. Maombi yakaitishwa na tahadhari Kama mwaka Jana tunachukua. Kile tulichokikataa mwaka Jana na mwaka huu tumekikataa!! Kama Mungu alivyotuponya mwaka Jana na mwaka huu atatuponya!!
Huyo anayelia kuwa amefiwa na baba yake kwa tatizo la kupumua kwanza nampa pole. Kisha namwuliza swali unadhani Kama ungekuwa unaishi Marekani na ulaya wanakotangaza data za Corona na kufanya lockdown baba yako asingeumwa corona? Mbona huko unakosifia ndiko Kuna maambukizi na vifo vya Corona kwa mamia na maelfu kila siku?? Maana yake ni kuwa mbinu yao haijawasaidia wao, itawezaje kutusaidia sisi? Wapambane kivyao na sisi tutapambana kivyetu mwisho wa siku tutaona mbinu ambayo ilikuwa sahihi!
Lakini mpaka sasa Tanzania tuko salama Sana!! Hao wengine wanatuonea wivu! wanataka tutumie mikakati ambayo hata wao haijawasaidia!
 
Kigogo anaweweseka tu,kapoteza Nyumba yake,Basi hasira zote kwa Magu! Mwambieni ajenge nyingine,lakini isiwe kwenye eneo la barabara, maana Magufuli atamliza tena!!
Ametuliza wengi kwa kutumia nguvu ya dola tunayoitunza sisi kwa Kodi zetu, sisi hatuna dola la kumliza yeye lakin na yeye atalia tu kwa njia nyingine. Mwisho wa ubaya Ni aibu na kila mbabe ana mbabe wake
 
Kipindi ni The Stream.

Kinaongozwa na Femi Oke.

Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA.

Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli kuhusu COVID-19.

Huwezi kupinga jambo la sayansi bila uthibitisho wa kisayansi. Yeye ana ropoka tu bila na uthibitisho hapa ndiyo anaonekana hamnazo. Sijui kuambiwa na nani kwamba watanzania wanawindwa na wazungu? Katika dunia ambayo hata hizi cmu hatujui zimetengenezwa na nani wazungu wanahitaji kukuua kwa C 19 kweli????
 
Nyie ni wapumbavu kweli!! Kwani tukisema Corona ipo tunapata faida gani? Huko wanaposema ipo wanapata faida gani? Watu huko wanakotangaza Corona IPO wanakufa kama kuku wanaomwa kideli.kama dawa ingekuwepo na tukakataa kuwa Corona haipo ( japo hatujasema haipo) tungekuwa tumekosea sana.sasa ligonjwa lenyewe halina dawa.unawambia watu kuwa kuna gonjwa na halina dawa and then?? Mmenunuliwa ili kutangaza soko la chanjo.pumbavu zenu.
Nafikiri wewe ndiyo mwenye tatizo
Kuficha ili wananchi waendelee kuambukizana bila tahadhari !!. Akili zako hazina faida katika jamii hata ya wapumbavu wenyewe ZALEMDA
 
Nani alisema watu wasichukue tahadhari? Rais hajawahi kusema kuwa Tanzania hakuna corona! Ndiyo maana mwaka Jana shule na vyuo vilifungwa.
Lakini anachokisema Rais Ni kwa sisi k ama Tanzania hatutaiga Wala kushinikizwa tufuate mbinu na taratibu za kupambana na corona za mataifa mengine. Tutatumia mbinu zinazoendana na Hali halisi ya mazingira yetu na hali yetu. Ndio maana tulikataa lockdown na tukaacha kutangaza data za Corona kwa sababu zilikuwa zinatumiwa kuleta hofu
na wazungu walikuwa wanasema kabisa kuwa tutaokota miili barabarani.
Utaratibu uliotumika kwanza ni kuomba Mungu aliyeumba mbingu na nchi ili atuponye na corona Kisha kuchukua tahadhari zinazoendana na Hali na mazingira yetu Kama kunawa mikono, kutumia barakoa za kujishonea wenyewe nk.
Matokeo yake Mungu alituponya na corona, shule na vyuo vikafunguliwa na maisha yakaendelea Kama kawaida.
Mwaka huu limekuja tena wimbi jipya la corona duniani. Virusi wa aina mpya toka Uingereza na Afrika ya kisini.
Rais akasema utaratibu tuliotumia mwaka Jana na Mungu akatuponya tuutumie Tena mwaka huu. Maombi yakaitishwa na tahadhari Kama mwaka Jana tunachukua. Kile tulichokikataa mwaka Jana na mwaka huu tumekikataa!! Kama Mungu alivyotuponya mwaka Jana na mwaka huu atatuponya!!
Huyo anayelia kuwa amefiwa na baba yake kwa tatizo la kupumua kwanza nampa pole. Kisha namwuliza swali unadhani Kama ungekuwa unaishi Marekani na ulaya wanakotangaza data za Corona na kufanya lockdown baba yako asingeumwa corona? Mbona huko unakosifia ndiko Kuna maambukizi na vifo vya Corona kwa mamia na maelfu kila siku?? Maana yake ni kuwa mbinu yao haijawasaidia wao, itawezaje kutusaidia sisi? Wapambane kivyao na sisi tutapambana kivyetu mwisho wa siku tutaona mbinu ambayo ilikuwa sahihi!
Lakini mpaka sasa Tanzania tuko salama Sana!! Hao wengine wanatuonea wivu! wanataka tutumie mikakati ambayo hata wao haijawasaidia!
umeandika kwa kireefu, ila nimeishia pale mwanzo ulipoandika eti Jiwe hajawahi kututangazia kwamba tz hakuna "kolona"...huyo mpenda sifa ameshatutangazia tz hakuna "kolona" kwenye mikutano ya kampeni mwaka jana, wala si mara moja!.
 
Jamaa bwege sana ujue wapo watu wamsupport kwenye huo ujinga wake

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Watanzania tuna matatizo sana. Ivi ulimwona yule dr. Aliyekaa pembeni kwa dr. Mpango jana . Ameshindwa kujifunika hata na Leso? Yani jamaa anakohoa yeye amekaa tu kama hayawani? Sasa kama professionals wanaingia kwenye siasa na kuwatoa watu ICU Ili wawajibu wana Jf kunanchi hapo
 
Dawa ni kumpuuza tu na kuanza kujichukulia tahadhari wenyewe.
Hash tag ya FireFauci umeiona mkuu!? Hivi umepata chanjo zote mbili !! Na bado unaambiwa uendelee kujifungia!? Sasa hiyo ni chanjo ama " kamali" za Big Pharma kuwaibia walimwengu! Sasa nini msingi wa kuwa na chanjo katika nafasi ya kwanza!? Halafu watu wanapiga kelele...chanjo chanjo!!!
===

Yup! Got my jab a couple weeks ago!

Hiyo RT ni chanzo cha kuaminika kweli?
 
Ha ha haaaa!
===
Kwa hiyo. Muda huu hutishwi na Virus vya Corona, au siyo?
Mi tokea ianze wala sijawa na hofu yoyote ile.

Na hata hii chanjo nimechanjwa tu kwa sababu fursa ilijitokeza yenyewe kutokana na kazi yangu [nasafiri mara kwa mara, ndani na nje ya nchi]. La sivyo, wala hata nisingehangaika nayo maana huwa sipendi sindano mimi.
Airlines nyingi sasa hivi zimeanza kuweka shurti la kupimwa kwanza kabla hujapanda ndege zao au kuchanjwa.

Pia, kama una watu wanakutegemea, si vizuri kuwa mbinafsi. Hivyo, nimechanjwa kwa ajili ya watoto pia.
 
Nani alisema watu wasichukue tahadhari? Rais hajawahi kusema kuwa Tanzania hakuna corona! Ndiyo maana mwaka Jana shule na vyuo vilifungwa.
Lakini anachokisema Rais Ni kwa sisi k ama Tanzania hatutaiga Wala kushinikizwa tufuate mbinu na taratibu za kupambana na corona za mataifa mengine. Tutatumia mbinu zinazoendana na Hali halisi ya mazingira yetu na hali yetu. Ndio maana tulikataa lockdown na tukaacha kutangaza data za Corona kwa sababu zilikuwa zinatumiwa kuleta hofu
na wazungu walikuwa wanasema kabisa kuwa tutaokota miili barabarani.
Utaratibu uliotumika kwanza ni kuomba Mungu aliyeumba mbingu na nchi ili atuponye na corona Kisha kuchukua tahadhari zinazoendana na Hali na mazingira yetu Kama kunawa mikono, kutumia barakoa za kujishonea wenyewe nk.
Matokeo yake Mungu alituponya na corona, shule na vyuo vikafunguliwa na maisha yakaendelea Kama kawaida.
Mwaka huu limekuja tena wimbi jipya la corona duniani. Virusi wa aina mpya toka Uingereza na Afrika ya kisini.
Rais akasema utaratibu tuliotumia mwaka Jana na Mungu akatuponya tuutumie Tena mwaka huu. Maombi yakaitishwa na tahadhari Kama mwaka Jana tunachukua. Kile tulichokikataa mwaka Jana na mwaka huu tumekikataa!! Kama Mungu alivyotuponya mwaka Jana na mwaka huu atatuponya!!
Huyo anayelia kuwa amefiwa na baba yake kwa tatizo la kupumua kwanza nampa pole. Kisha namwuliza swali unadhani Kama ungekuwa unaishi Marekani na ulaya wanakotangaza data za Corona na kufanya lockdown baba yako asingeumwa corona? Mbona huko unakosifia ndiko Kuna maambukizi na vifo vya Corona kwa mamia na maelfu kila siku?? Maana yake ni kuwa mbinu yao haijawasaidia wao, itawezaje kutusaidia sisi? Wapambane kivyao na sisi tutapambana kivyetu mwisho wa siku tutaona mbinu ambayo ilikuwa sahihi!
Lakini mpaka sasa Tanzania tuko salama Sana!! Hao wengine wanatuonea wivu! wanataka tutumie mikakati ambayo hata wao haijawasaidia!
Kwanini kutangaza walioambukizwa na waliokufa iwe haramu Tanzania tu? We tangu umekuwa ulishasikia vyumba vya maiti muhimbili vimejaa???? Nenda kaulize pale usikie unaambiwa nini??? Inahitajika kalu yake moja tu kuwafanya watu ml 1 kuvaa barakoa kwa dk mzee
 
Anataka kuprove kuwa huwa hakosei ili mjue alivo na nguvu; akikubali alikosea kusema korona haipo Tanzania maana yake yeye Ni dhaifu wakati ukweli yeye Ni mwanaume wa shoka Tanzania nzima Bara na Visiwani.
Badala yake, udhaifu wake ndio umezidi kujionyesha bayana.
 
Obviously you have no clue on the subject.

If you did, you would readily know that absence/presence of a 'variant' can be scientifically established/proved!
prove your claim that the variant in Tanzania is new
 
Back
Top Bottom