Another 39% down. What’s going on with oil prices?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,607
2,000
Oil price yesterday ilikuwa kwenye negative. Sasa hivi imeanguka tena kwa asilimia 39!
Makampuni mengi ya mafuta yatashindwa ku sustain baada ya Leo.
 
babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,607
2,000
SOMA NA HAPO KUHUSU CRUDE OIL

Mkuu,
Ninakubaliana na wewe lakini kwenye market kuna a lot of manipulation. Mfano, gas kipindi cha winter maitaji ni makubwa na kwa akili za kawaida utaona lazima bei ipande au kubakia hapo hapo. Lakini mwaka huu bei ilishuka kuvunja record. Na sasa tunaenda summer ambapo maitaji yanashuka lakini cha kushangaza bei ndio inapanda.
Kuna watu walinunua wiki hapo nyuma baada ya Saudi Arabia, Russia na USA kufikia makubaliano na kupunguza production. Niliwaonya kwamba it is not going to be that easy. Labda price itashuka tena lakini sikutarajia kwa kiasi hiki!
I learned the hard way kwamba chochote kinachooneka ni rahisi kutengeneza pesa kwenye market itakuwa sivyo!
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,486
2,000

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,607
2,000
Kwa mara ya kwanza kwenye historia. Bei ya crude oil imeshuka mpaka kwenye negative. Hii inamaanisha wazalishaji wanawalipa wanunuaji wakubwa kuchukua crude oil kutoka kwao?

Je, hii ina maana gani kwa mnunuaji kama mimi na wewe kwenye Petrol Station?
 
MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
509
500
Mkuu,
Ninakubaliana na wewe lakini kwenye market kuna a lot of manipulation. Mfano, gas kipindi cha winter maitaji ni makubwa na kwa akili za kawaida utaona lazima bei ipande au kubakia hapo hapo. Lakini mwaka huu bei ilishuka kuvunja record. Na sasa tunaenda summer ambapo maitaji yanashuka lakini cha kushangaza bei ndio inapanda.
Kuna watu walinunua wiki hapo nyuma baada ya Saudi Arabia, Russia na USA kufikia makubaliano na kupunguza production. Niliwaonya kwamba it is not going to be that easy. Labda price itashuka tena lakini sikutarajia kwa kiasi hiki!
I learned the hard way kwamba chochote kinachooneka ni rahisi kutengeneza pesa kwenye market itakuwa sivyo!
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom