William;
Mkuu kwanza habari za siku? Tumepoteana sana humu jamvini na nashukuru leo nimekutia machoni.
Most intresting ni facts zako. Kwanza unatumia ID yako ya kweli na picha yako, so Anna Makinda na Wadau wanakusoma na wanajua ni nani na utakuwa judged kwa hilo.
Nasshukuru kwamba umetupatia first hand information ambazo hazijachakachuliwa.
Wakati mengi uliyotuleza ni mazuri na hakika ni ya uhakika, je kuna mapungufu yoyote ya Kiuongozi aliyonayo ambayo wewe binafsi unayajua? Utakuwa umetusaidia sana kama utatuambia maana najua Anne is not an Angel.
Usipotee sana Mkuu.
Mbona umebandika hii au hii haina umuhimu.Jana nilipost thread yangu titled: Tunapojadili jinsia ya ana makinda na kusahau mustakabali wa taifa letu, leo asubui naona haipo. Hii si mara ya kwanza, niliwahi tena kubandika hapa kuhusu, ahadi za kikwete wakati wa kampeni kufikia trilioni tisini, baada ya masaa mawili nayo ikayeyuka, bahati mbaya nikaiona kwenye gazeti la mtanzania daima
sasaa, kama ni hivyoo sioni tena umuhimu wa kubandika chochote hapa, sitendewi haki
<br />Jana nilipost thread yangu titled: Tunapojadili jinsia ya ana makinda na kusahau mustakabali wa taifa letu, leo asubui naona haipo. Hii si mara ya kwanza, niliwahi tena kubandika hapa kuhusu, ahadi za kikwete wakati wa kampeni kufikia trilioni tisini, baada ya masaa mawili nayo ikayeyuka, bahati mbaya nikaiona kwenye gazeti la mtanzania daima <br />
<br />
sasaa, kama ni hivyoo sioni tena umuhimu wa kubandika chochote hapa, sitendewi haki
Jana nilipost thread yangu titled: Tunapojadili jinsia ya ana makinda na kusahau mustakabali wa taifa letu, leo asubui naona haipo. Hii si mara ya kwanza, niliwahi tena kubandika hapa kuhusu, ahadi za kikwete wakati wa kampeni kufikia trilioni tisini, baada ya masaa mawili nayo ikayeyuka, bahati mbaya nikaiona kwenye gazeti la mtanzania daima
sasaa, kama ni hivyoo sioni tena umuhimu wa kubandika chochote hapa, sitendewi haki
Jana nilipost thread yangu titled: Tunapojadili jinsia ya ana makinda na kusahau mustakabali wa taifa letu, leo asubui naona haipo. Hii si mara ya kwanza, niliwahi tena kubandika hapa kuhusu, ahadi za kikwete wakati wa kampeni kufikia trilioni tisini, baada ya masaa mawili nayo ikayeyuka, bahati mbaya nikaiona kwenye gazeti la mtanzania daima
sasaa, kama ni hivyoo sioni tena umuhimu wa kubandika chochote hapa, sitendewi haki
TANGU ASUBUI LEO, VITUO VYOTE VYA REDIO NA TELEVISHENI HAPA VINASHINDANISHA WATAZAMAJI WAKE, NA WASIKILIZAJI KUHUSU SPIKA MPYA MWANAMKE WA AFRIKA MASHARIKI , KATI NA JANGWA KUSINI MWA SAHARA! hakuna tena kujadili kuhusu mustakabali wa taifa letu, lililotekwa na mafisadi wachache wasiozidi kumi. watu wanazungumzia kuhhusu jinsia ya spika mpya makinda, wamesahau kuwa jinsia ya anna makinda siyo muarobaini ya matatizo ya nchi yetu. wakati tupo kwenye kiza hiki kinene kuzungumzia jinsia ya anna makinda , akina rostam azizi na wengine wako bize kule bahi na namtumbo wakichimba urenium na tutakapozinduka madini haya adimu yaktakuwa yamekwisha.
watanznia wenzangu, hakuna atakaye pinga hata mama makindaakishika kiti cha kikwete provided hatutakuwa na mafisadi humu nchini.
tuache kushangilia mongela kuwa rais wa beijing, makinda kuwa spika, migiro kuwa katibu wa un. dada zetu hawa wawe mbele kupigana dhidi ya mafisadi, hawa ni da da zetu, mama zetu, bibi zetu, wanastahili kupewa hivi vyeo, wana nwake msibweteke, vita ni kubwa mbele yenu. msikubali kuhungwa mnastahili.
Mtoto wa Anna atakuwa mkubwa kuliko huyo Neema. Neema atakuwa ni mtoto wa mke ambaye Prof alimuoa baada ya kuzaa na Anna. Watoto wa Prof kwa mke huyo wamesomea South Africa. I remain to be corrected .
Ukiangalia jinsi alivyokuwa anawahandle wapinzani alipokuwa anaendesha vikao wakati wa bunge lililopita utatambua kuwa she is short-fused!! Unless anabadilika kazi hii ya kuendesha bunge itamuwia vigumu sana hata akapata ugonjwa wa shinikizo la damu kama hanaompaka sasa!! She has to learn to be calm!!
Nakupongeza kwa kuja rasmi na true identity. Nawapongeza na wote wenye majina halisi wanaifanya JF iwe more real with real people hata posti wanaposti wenye real names ni tofauti na enzi zile za pen names hivyo kuipa JF more credibility.<font size="3"><font color="blue"><br />
- Ahsante sana mkuu ni kwamba Jamiiforums ni chombo kikubwa sana sasa ka
tika jamiii ya taifa la Tanzania, nimeshirki kwa majina ya bandia kwa muda mrefu sana toka tukiwa kule BCS, Jambo Forums, TEF mpaka kufikia JF, I mean tumetoka mbali sana na hii mitandao, sasa ilifika mahali baadhi yetu hapa JF kama kina Dr. Kitila, tukaamua kwamba tunataka kwenda open kwa majina yetu kamili na picha, ili pamoja na mengine kuipa JF integrity zaidi kwamba hata ukijitokeza wazi hakuna tatizo, ninakumbuka siku ya kwanza nimemfahamisha Mkuu Invisible kuhusu uamuzi wangu kwanza he was very hesitant lakini kwa vile tunaheshimiana sana akanikubalia na kunitakia baraka zote, I am praying kwamba ndugu yangu sana Mkulu Mwanakijiji siku moja naye atajiunga na huu uamuzi.
<font size="4"><font color="red">William.</font></font>