Mama anatukebehi WaTz!! maneno ya mtu aliyeshiba kupita kiasi jamani........anasema ubunge ni umaskini sasa sijui kwa nini wanautafuta kwa gharama kubwa
Hivi kwanini huwa anatembea upandeupande au kama vile bega moja chini.
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI
si ana mabasi 8 ameyaweka kwenye kampuni ya super fuso kutoka dar to songea
auze moja ili ajenge...aache kuzuga.
bungeni ni eneo la kumfanya mtu kuwa maskini na sio tajiri na yeye amekopa pesa benki ili jange nyumba by spika makinda chanzo ITV & TBC 1 na pia metangaza kustafaa 2015
Eti yeye (Madam Speaker) ni mkristo aliyosema ni kweli kabisa! Kuna mwana JF amesema kuwa huyu madam ana basi 8, route Dar/Songea; haya tena, kumbe anamiliki ghorofa 2!
Unajua wakati mwingine ni kama watawala wetu wanatufikiria kuwa sisi ni mazezeta wa aina fulani hivi; sasa kama mtu analia umaskini na kuwa ni Bungeni ni sehemu ya umaskini wa "kutupwa" kwanini anataka kusubiri hadi 2015? Kwanini asiamue - katika jitihada za kuukwepa umaskini - kuachia ngazi sasa hivi akaende kufanya shughuli zake binafsi?
si ana mabasi 8 ameyaweka kwenye kampuni ya super fuso kutoka dar to songea
auze moja ili ajenge...aache kuzuga.
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI
mama alikuwa anatoka mapovu huyo...eti wabunge wamejaa umaskini...eti anataka achukue mkopo ajenge nyumba...kufuru nyingine ...!