Visenti
JF-Expert Member
- Jul 24, 2008
- 1,025
- 333
hata asipogombea ubunge bado anaweza kugombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Mwaka 2015 ni zamu ya mwanaume kuwa spika (gender rotation), ina maana atajibadilisha jinsia?
hata asipogombea ubunge bado anaweza kugombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI

anasema ubunge ni umaskini sasa sijui kwa nini wanautafuta kwa gharama kubwa
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.
Wajameni, kujenga nyumba gani tena? Kwani ya kule Sinza/Kijitonyama alikowafungia wananchi njia wakati akijenga, hiyo siyo nyumba? Au haimtoshi?Wanashindana kujenga nyumba hawa?
Namtakia heri katika maisha yake ya kustaafu na kula pensheni, ambayo kwa mwezi ni kubwa kuliko kipato cha madaktari 200 kwamwezi!
Nenda Makinda! Nenda kajipumuzikie! Nenda Anna! Nenda!