Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

Ulichokuwa unakitafuta umekipata mama, acha hadaa eti utakopa pesa! Chukua Chako Mapema, umefisadi sasa rudi ule anasa. Umesoma alama za nyakati.
 
Mama ana zeeka vibaya. anafanya wapigakura wake wajinga .ati akope pesa ajenge uh ujinga na kejeli za viongozi we2 haukubaliki!
 
Katiba mpya iangalie mafao ya hawa viongozi wastaafu. Soon tutakuwa na marais wastaafu watatu, maspika wastaafu watatu, majaji wakuu wastaafu watatu, mawaziri wakuu wastaafu saba. Huu ni mzigo kwa wananchi. Wananchi wenyewe kupitia katiba tuamue ni kitu gani wanastahili. Tusiwaruhusu kujipangia mafao ya wizi wanayojilipa.
 
ukiwa ccm huachi kuwa mnafiki..kuna siku tbc kulikuwa na mjadala kuhusu posho kati ya kamanda mbowe na lukuvi ..lukuvi akasema wamesha kupeshwa posho yote takribani millioni 200 na nyingine milioni 90 ya kununulia gari
aaagh napata tabu kama anasema hana nyumba nafikiri hakujenga kwao kuna mahali kawekeza halafu si niliwahi kusikia kafunga barabara sinza kwenye nyumba yake kazuia wengine wasipite
 
Kama mpaka leo mama Makinda haujajenga basi nashawishika kama si ushirikina basi ndoa yako haijasimama! Hauna haja ya kukopa ili ujenge nyumba ya kuishi may be jengo la biashara hapo utaeleweka zaidi!
 
Huyo Mama ni muongo mkubwa,ni kweli kabisa ana hekalu zake K'nyama na Mikocheni,hizi za Mikocheni zinasimamiwa na mtoto wa marehemu dada yake, Mama Anneth(huyu marehemu alikuwa mtu wake wa karibu sana),..au ndio kauli zenu za visenti,labda angekuwa nazo 20 ndio angeridhika..huna sifa ya kuwa Spika..shame on you bi Kiroboto
 
Amesoma alama za nyakati,2015 agombee ubunge kupitia chama gani?CCM?!!CCM mwaka 2015 hakiuziki hata kwa kuiba kura kugombea ubunge kupitia chama hicho ni kujitukana mwenyewe.Wengi watakikimbia.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Anadhani hiyo ni habari mbaya kwa nani? je anadhani watu watatokwa na hamu ya kuishi kwa habari kama hiyo mi nadhani anahitaji councelling!in fact nafurahi kusikia uamuzi wa busara kama huo kutoka kwake cha msingi asije akaamua vinginevyo
 
Bi kiroboto si kwamba hana nyumba,si unakumbuka nyumba aliyukuwa anakarabati maeneo ya kijitonyama akafunga na barabari ili kupisha ukarabati?.Lkn sasa nahisi anataka kwenda another level ya kumiliki nyumba.Alizonazo ni vijumba na sasa anataka kujenga jumba.
 
aaah! hana lolote huyu mama, asitudanganye ubunge hauna maslahi MUONGO, alikuwa anafanya nini bungeni toka mwaka 1977 kama sikosei hadi leo? Nijuavyo mimi ubunge ni kwa ajili ya kuisimamia maendeleo ya jamii kwa ujumla hivyo yeyote anayeteuliwa analitambua hilo na hatakiwi kutanguliza maslahi yake mbele. Kubwa ni kuhakikisha wananchi wake anawasaidia kupata mahitaji yao muhimu kama elimu, maji, hospital, miundombinu bora na kadhalika.
Sawa Bunge ni chombo cha kutunga sheria, lakini Hao maprofesa wanaoingia bungeni kwa maslahi binafsi hatuwahitaji, na Mama Makinda kwa aina hii ya madudu kutoka kwa viongozi wenye dhamana kubwa kama wewe ni hakika hatutoweza kupiga hatua kwenda mbele, tutaishia kujikongoja tu kama tufanyavyo sasa.
 
Mh. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. Amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba.

Sorce: ITV, HABARI YA SAA MBILI

Mwongo mkubwa huyu! Na ule uzio aliojenga kuzuia barabara kule DSM! Miradi yake ya mbao Iringa, DSM na Dodoma!
 
hta akifika mirembe apelekwe ICU kwani anadiriki kudai vikao vya bunge ni siku 9 tu na ambazo wabunge hulipwa. Anataka kusema nini kuhusu bunge la budget ambalo wabunge hukaa dodoma karibia miezi3? sio mvuto tu hata uwezo hana.
 
kwani pale kijitonyama anapokaa na alifunga barabara watu wasipite mtaani ni nyumba ya nani??tena anaikata ofisi ya bunge mahela kibao kama kodi wakati nyumba yake,kweli ameamua kututukana na hana hata aibu,labda kule jimboni ndo hajajenga akajenge kule, kweli siasa ni mchezo mchafu
 
Huuu unafiki mkubwa kweli anasema akakope ili ajenge haya ni ya kweli au kutudharau tunasubiri mikopo ili tujenge? Makinda ni kweli hadi leo hana hata nyumba? alishakuwa mkuu wa mkoa,mbunge na leo spika.....kweli bibi kiroboto ameamua kututukana....Na hili ndilo lifanywalo na viongozi wa Tanzania wakidhani kuwa sisi hatuna akili......mi nimeona kama yule mama sasa kachanganyikiwa...
Kwa kweli hayo sio maneno kutoka kwa mtu mzima kwenda kwa watu wazima wenzie.
Hii nchi tunadharauliana sana.
 
Yawezekana alijenga D'Salaam akasahau kujenga kwao, sasa anaona atasfaafu pasipo kuwa na nyumba jimboni kwake, maana atachekwa. Hiyo haimaanishi kwamba hana nyumba. Kama amejenga DSM, Mwanza au kwingineko bado ni nyumba yake. Kwa hiyo hapo kadanganya.

Anaposema ubunge ni umaskini, hapo napo kasema uongo. Ni mtumishi gani wa umma Tanzania anyaestaafu na kulipwa mafao ya 40,000,000? kwa utumishi wake kwa umma kwa mika hata 20? Lakini ubunge ukimaliza miaka yako 5 una uhakika wa kvuna mafao ya ubunge yanayokaribia 40m. Ni kweli kuwa wabunge wengi baada ya kushinda ubunge huchukua mikopo benki kwa udhamini wa Bunge, pamoja na mikopo ya magari. Hii huwafanya kuwa na makato makubwa kwa ajili ya kurejesha mikopo.

Lakini kukopa siyo sababu ya kusema kuwa mbunge ana kipato kidogo kwa kuwa kukopa ni hiari na hakuna mbunge anayelazimishwa kukopa. Kama ilivyo kwa walimu wanaokopa Bayport n.k.
 
Bi Koroboto kagundua kuwahauziki, sura imemkomaa hata seringeingia gharama ya kumfanyia sjari kama MICHAEL JACKSON angeishia kufanana na "mtoto wa mkulima." Nafasi ya uspika aliipata kama zali baada ya mafisadi kumpachika kwa tiketi ya jinsia ya kike. Pili amegundua akiweakutoboa mpaka 2015 atakuwa hoi kwani vijana wa cdm kina mnyika, Mdee, Zito, Lisu, Lema na wengine wanampeleka mchakamchaka yeye alizoea mabunge ya miaka iliyopita yalikuwa kama Kitchen part sasa kwa upande wake mziki mzioto. Kwanza mbona ni mapema mno ku-declare kutogombea? Inamaanisha kwamba imebana mbaya si ajabu angegombea angeangushwa na binti aliyefeli kidato cha nne mwaka jana.
 
Ni uamuzi wa busara sana. Amefika mahala ambapo si wengi wanafika. Ni mwanamke wa kwanza kuwa spika Tanzania, ameweka historia, umri nao umekwenda. Mimi nangoja mwaka wake wa mwisho nipeleke posa, atanifaa sana kumtazamia pesa atazokopa.

Nikichukuwa ngoma hiyo, itabidi niende kwa kuomba miongozo.
utapewa miongozo humo humo ndani
 
Back
Top Bottom