Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,571
- 12,209
Mafanikio yanayiweza kupimwa na muda aliotumika ndio utakuwa shahidi wa ufanisi wake.Kwa mtazamo wangu hajaweza kuisaidia nchii hii katika kujikwamua na halingumu ya uchumi kwa kipindi alichohudumu nchi.Ni vema angepisha wengine wenye mtazao tofauti waweze kuibadili nchi hii ambayo toka ipate uhuru,tunaweza kugharimia budget yetu kwa asilimia juu kidogo ya hamsini.AIBU