Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

Aache unafki huyo Mazaaaa ubunge toka nazaliwa mpaka nimekuwa mtu mzima eti hana nyumba? aache kutuzuga bana
 
Asitufanye sie madunya. Ashanyonya vya kutosha na sasa bora awaachie wengine. Yaani tangu akiwa binti kigoli mpaka leo anapokua bibi bado yumo mjengoni
 
si ana mabasi 8 ameyaweka kwenye kampuni ya super fuso kutoka dar to songea
auze moja ili ajenge...aache kuzuga.

Dah!I knew nothing before...kuhusu huyu mama...ama kweli JF ni kiboko yao.
 
Nikiwa primary sch. miaka ya 1980, huyu mama tayari alishakuwa mbunge! Leo hii eti akakope pesa ya kujengea nyumba! Alikuwa wapi muda wote? Na hizo fedha za ubunge alikuwa anapeleka wapi?

Anasema alikuwa anajenga shule na hospitali jimboni kwake.
 
ana ghorofa ya kisasa mbili nazijua moja ipo kijitonyama karibu na kituo cha polisi mabatini na nyingine karibu na nyerere mikocheni. nadhani ya kijinyama ndio anaishi ya mikocheni kampangiza mdogo wa rostam aziz aliyekamatwa na madawa ya kulevya tanga
 
Aache uongo!! Juzijuzi si alifunga njia kijitonyama kupisha ujenzi wa kasri lake?? Mwizi anaweza kusahau but anaeibiwa hasahau kamwe!
 
hamkosi maneno na hamnaga shukrani, mlitaka asemeje? Kachukua uamuzi mzuri na wengine waige mfano mzuri kutoka kwake.
 
hamkumbuki aliwahi kufunga barabara maeneo furani kama si kijitonyama, wakati wa kumalizia kasri lake huko! labda aseme ni nyumba ya ngapi anataka kujenga
 
mh spika wa bunge la jamuhuri ya muungano amesema kuwa hato gombea ubunge chaguzi mkuu ujao. amesema anataka kukopa pesa arudi kujenga nyumba, sorce ITV, HABARI YA SAA MBILI.

kuna mmoja kule ukerewe aliwahi kusema sitagombea tena, mmh uchaguzi ulipofika akagombea, alipoulizwa alikuwa mkali kama nani hiii
 
Jf funguka kwa upana kingereza wanasema read between lines. Ana maanisha tutegemee appartments zenye majina kama makinda tower, semamba tower anna makinda tower, ama majina ya wanawe hela aliyopewa na rostam bilion moja cha mtoto kumbuka amepindisha mengi zao lake ni ufisadi
 
Asitufanye sie madunya. Ashanyonya vya kutosha na sasa bora awaachie wengine. Yaani tangu akiwa binti kigoli mpaka leo anapokua bibi bado yumo mjengoni

mkuu, miaka 37 Bungeni siyo mchezo. Huyu mama
anachekesha.
 
Jf funguka kwa upana kingereza wanasema read between lines. Ana maanisha tutegemee appartments zenye majina kama makinda tower, semamba tower anna makinda tower, ama majina ya wanawe hela aliyopewa na rostam bilion moja cha mtoto kumbuka amepindisha mengi zao lake ni ufisadi
 
Nikiwa primary sch. miaka ya 1980, huyu mama tayari alishakuwa mbunge! Leo hii eti akakope pesa ya kujengea nyumba! Alikuwa wapi muda wote? Na hizo fedha za ubunge alikuwa anapeleka wapi?

Kwao ndio hajajenga, kafunga mtaa kujenga hekalu hapa kwetu kijitonyama ...
 
***** mtupu!akadanganye watoto wake,labda ni vilaza kama yeye!lakini si Watanzania wa leo
 
ana ghorofa ya kisasa mbili nazijua moja ipo kijitonyama karibu na kituo cha polisi mabatini na nyingine karibu na nyerere mikocheni. nadhani ya kijinyama ndio anaishi ya mikocheni kampangiza mdogo wa rostam aziz aliyekamatwa na madawa ya kulevya tanga

Eti yeye (Madam Speaker) ni mkristo aliyosema ni kweli kabisa! Kuna mwana JF amesema kuwa huyu madam ana basi 8, route Dar/Songea; haya tena, kumbe anamiliki ghorofa 2!
 
Back
Top Bottom