Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

Shuhuli binafsi labda za uchawi.
Anajua jinsi watanzania wanavyomtazama anavyokandamiza hoja za kutetea mafukara kwa kutumia mwamvuli wa Chama Cha Majangili.

Hatari:
Weka Mbali na Tembo.
 
Hana alichofanya cha kujivunia ktk jimbo lake zaidi ya kujilimbikizia mali tu,amekuja kuvuruga hata Bunge letu tukufu so keshaona hana chake huko aendako.Amekuwa Mbunge kwa miaka zaidi ya 30 na wananchi wameanza kushtuka kulikoni kuendelea kuwa na mtu asiyejali shida na matatizo ya wananchi.
 
Mie nadhani alikuwa anawaambia hivyo marafiki zake ili asikie kama watasema "hapana gombea tena wewe bado ni jembe"
 
Mie nadhani alikuwa anawaambia hivyo marafiki zake ili asikie kama watasema "hapana gombea tena wewe bado ni jembe"
Nadhani pia alikuwa anatafuta kufarijiwa maana kukaa nje ya ulaji ni ngumu,so marafiki walau wamweleze huku nje wanamsemeaje.Atoke huko maana alitamka kuwa maisha ya ubunge ni umaskini so aje huku tupigwe jua pamoja.Ila ukweli jimboni hakuna cha kujivunia alichofanya so anaogopa kuendelea kufukuzwa kwa njia ya kura...!!
 
Ni kweli kabisa.
 
kuna mtu anakuhitaji?!!! tumechoka hata ukiachia leo heko
 
Kama ana mtoto mrembo wa kike, tuwasiliane ntamjengea hilo jumba, asiwaze saana
 
Hii ni kauli ya kifalsafa ambayo lengo kuu ni kumjenga mtanzania katika mafanikio aliyokusudia bila kujali itikadi zao,dini zao au nafasi walizonazo.Ikumbukwe kuwa kwa mtanzania wa leo nyumba ndio msingi imara wa kuondokana na ufukara/ugumu wa maisha.
 
Hapa hadanganyiki mtu.Umeishashiba.umewatumikia mafisadi,nenda kale pensheni yako vyema mama.Cha maana kukumbuka ni kuwa Watanzania wa leo si wale wa mwaka 47,wanaelewa kila mkakati wa CCM.
 
Utasikia oh nimeshauriwa na wazee wa kibena nigombee ndiyo maana nikaamua kugombea loh.
 
Litakapovunjwa bunge hapo June 2015 atakuwa amefanikiwa kuwa mbunge kwa miaka 40 bila kukoma kati ya hiyo amekuwa mbunge wa jimbo miaka 20. Ameanza ubunge mwaka 1975. Amekuwa waziri wa nchi-bunge na pia waziri wa maendeleo ya jamii, wanawake na watoto. Amekuwa mkuu wa mkoa Ruvuma kwa miaka 5.

Pia, amewahi kushika madaraka ya Naibu Spika kwa miaka 5. Rekodi yake ya kuwa mbunge kwa muda mrefu haijafikiwa na mbunge yeyote wa sasa. Kwa historia hii ndefu nadhani wanawake wanaopenda kuwa viongozi wa kisiasa wanaweza kujifunza toka kwake.
 
Lakini ana bahati mbaya sababu mwaka wake 40 ya ubunge ndiyo chama chake cha kilanguzi kinakwenda kuzikwa rasmi
 
amewafanyia nini wananchi wa jimbo lake kwa muda wote huo aliokaa madarakani?
 
Back
Top Bottom