Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

Ungekuwa wewe Ndio kiongozi wa upinzani labda ungefanyaje? Yaani janga la kitaifa litokee then mkakae mnazunguka kwenye vit badala yakuangalia huyu mdudu anayeitafuna democrasia na kuua watu anadhibitiwa kabla hawajasambaa. Toa maoni, usilaumu kijana.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

una maana ya : salamu sana na baada ya salamu mimi sijambo? Ha ha haaaah! utasubiria sana, Kwani uchaguzi wenyewe umeahirishwa kwa jinsi gani? habari ndio hiyo.
 
Wenye akili tumeshasoma na tumeshaona na kung'amua kwamba this is absolutely CCM and their gvt strategy kuhakikisha kuwa CDM ifikapo 2015 inakuwa haipo au imesambaratika kama ambavyo wamekuwa wakitamba;

HALAFU HEBU REJEENI HAYA; Mwanzoni mwa wiki hii kamati kuu ya CCM ilikaa pamoja na mambo mengine ikaja na msimamo wa kupinga Rasimu ya Katiba na hasa kipengele cha muundo wa muungano wa serikali tatu. Pili JK akasafiri nje ya nchi nadhani UK, Kina Nchemba, Nape, Wassira na vigogo wengine wa CCM wakaenda Arusha katika wiki ya lala salama ya kampeni za uchaguzi wa kata nne za madiwani.

Fuatilia kauli zao majukwaani k.v ile ya Mwigulu kuwaonya wana Arusha kutohudhuria miutano ya CDM kwa sbb watakufa nk,nk.

WHAT HAPPENNED?

Jumamosi katika dakika za mwisho za kuhitimisha kampeni ktk mkutano wa CDM huko Arusha bomu limelipuka na kuua wa3 na kujeruhi wengine makumi,Freeman Mbowe na G. Lema na viongozi wengine wakaponea chupuchupu.....likely hawa walikuwa ndo walengwa!!...

BUNGENI leo Dodoma serikali kupitia kwa waziri W. Lukuvi imetoa Tamko likiwa na kila halufu ya kisiasa....akitumia kila aina ya umahiri wake wa kujaribu kuchora picha ya kutaka kuihusisha CDM moja kwa moja na tukio hili la kiharifu,hebu isome kauli hii
"....wafuasi wa CDM wakati polisi wakimfukuza mrusha bomu waliwarushia mawe polisi kwa lengo la kuwazuia polisi hao kumkamata muuaji huyo......", Hapohapo na harakaharaka Spika wao anatoa Tamko/taarifa kuwa hana taarifa ya iwapo kambi rasmi ya upinzani (ambao ni haohao CDM) hawatakuwepo bungeni katika kikao cha leo j3!!.

QUESTIONS TO BE ANSWERED IN THIS DISCUSSION:
  1. Je, inawezekana kikao cha CC ya CCM cha last week kiliamua haya na utekelezaji wake ndio huu sasa?.....chunguzeni mpangilio wa kauli zao,ziko so planned strategically!!
  2. Kwa nini Mwigulu Nchemba mpaka sasa hajakamatwa na kuhojiwa na hao polisi kuhusu kauli yake ya kuwaonya watu wasiende ktk mikutano ya CDM kwa sababu watakufa?
  3. Je,inawezekana ikawa kweli KUB haijatoa taarifa Bungeni ya kutokuwepo kwao na kutowasilishwa kwa maoni ya KUB ya hotuba ya bajeti ya mwaka wa fedha 2013/2014? Kanuni zinasemaje ni lazima isomwe? Lazima leo na siku nyingine?
  4. Angalia mipango na mikakati ya CCM ilivyokaa; Je, inawezekana kuwa CDM wana akili zaidi kuliko CCM na serikali yao kwa ujumla?
  5. Je, mpango wa MUNGU kuna kikundi cha binadamu kinachoitwa CCM kinaweza kuizuia isifanikiwe?
  6. Na, kwa nini JK hajakatiza ziara yake Ulaya kama alivyofanya katika bomu la kanisani lililotokea hukohuko Arusha?
  7. Mwisho, kama Makinda na wenzake ktk CCM wanadhani hii sio issue kwao, ni kwa nini chaguzi za madiwani katika kata za ARUSHA zilisukumwa mbele na NEC?

MY TAKE;

CCM na serikali yao hakika sasa HAINA MBINU TENA ya kuizuia CDM kutwaa nchi hii. Wanachokifanya sasa si lolote si chochote.......zaidi ya wao wenyewe kujitengezea njia ya kuelekea kaburini...KUMWAGA DAMU ZA WATU kamwe hakuvumiliki na MUNGU HAYUPO HAPO,HAWEZI KUENDELEA KUONA HAYA YANAENDELEA KUFANYWA NA HAYAWANI DHIDI YA WATOTO WAKE!!.....Na mimi naomba hili litokee haraka because we are tired!!

Hivi watu wa kaskazini kuna shida gani manake mafisadi wote wanaishambulia sana kaskazini hasa Arusha to Killimanjaro. Ndio mikoa pekee ambayo viongozi wake wabunge hushambuliwa kama magaidi mabomu kibao yenye madhara mi nadhani huenda wakaanza kudai na wenyewe wawe na serikali yao na nchi yao.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Pumba ....
 
kama wabunge wa chadema wangekuja bungeni wangelaunmiwa zaidi. ni bora wameenda ili kuonyesha dunia kwamba wametendewa vibaya. mbona la mtwara bunge liliahirishwa na zanzibar? nao chadema walitoka nje. sasa kwa hili c.c.m haliwagusi. nawapongeza n.ccr mageuzi wamjitahidi kulisemea ingawa makinda katupilia mbali kwani halina maslahi kwa c.c.m.mbivu na mbichi zitawekwa wazi na mungu mwenyewe badala ya waganga wa interejensia feki ya kina lukuvi
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Wewe na Mbowe iko kitu....si bure...toka mawio mpaka machweo wewe ni Mbowe tu....maybe thats where you get your bread....otherwise utauwa familia
 
angekuwa kafa kama mlivyotarajia ingekuwaje? amenusurika ndio maana ameona haina haja, ila kila jambo lina wakati wake
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Yaani ANA MAKINDA anaendekeza sana siasa..hiku nchi inaparaganyika!!
Mwache tu na ujinga wake!!
 
Official matters mkuu zinafanywa kwa documents.

Wewe wa wapi?

Je una uhakika kwamba hajatumiwa email? Mwambie makinda afungue exchange mail yake usikute hata week hajasoma email,mambo ya mikaratasi ishapitwa na wakati.
 
Maoni ya KUB yatapelekwa kwa Wananchi maana Serikali ya CCM ni kiziwi. Huwa yanawasilishwa kutimiza wajibu tu. Kwa watu makini uhai kwanza maendeleo yatafuata. Hata ukiwa ulimwenu wa KWanza lakini ukawa huna uhai haifaidii kitu chochote.
Je bajeti ni Bora kuliko uhai wa Watanzania mara ngapi. Bajeti za vihiyo zinaonyesha Uchumi unakua lakini hali za wananchi zinazidi kuwa duni siku kwa siku. Mwananchi wa Namtumbo anayelima korosha anagawana pato sawa na Mohamed Bahresa na wachumi wetu wanazikubali theory kama hizo na kusema uchumi unakua badala ya ku-develop alternative theory to Economic Development zitakazo akisi uhalisia wa maisha ya waTanzania from the grassroots.

Halafu cha kutia kichefuchefu eti kina mwigulu type ndio wachumi. MUNGU WA MBINGUNI UTUREHEMU Tanganyika na Zanzibar
 
Huyu mama anaishi dunia gani na jana katika vyombo vyote vya habari husani Television zilionyesha Mbowe akiwa anahojiwa na kutoa tamko kuwa Chadema hawatashiriki vikao vya bajeti bungeni leo! Natumaini huyu mama hakulala kwake na kama alilala kwake basi hana Television au hasomi magazeti!
Kwani lazima alale kwake mtu ambaye hana mume? Huyu anaweza lala kokote mradi awe na uhakika wa kumegwa. Kwa umri ule alionao wapo watu pengine waliwahi kumposa na kwa sababu mbalimbali ndoa haikufanikiwa. Naamini kwa sasa watu hao wanamshukuru MUNGU kwa kuwaepushia na balaa hilo la kuoa mwanamke mwenye roho ya kichawi kama sii mchawi kamili.
 
Hivi watu wa kaskazini kuna shida gani manake mafisadi wote wanaishambulia sana kaskazini hasa Arusha to Killimanjaro. Ndio mikoa pekee ambayo viongozi wake wabunge hushambuliwa kama magaidi mabomu kibao yenye madhara mi nadhani huenda wakaanza kudai na wenyewe wawe na serikali yao na nchi yao.

nani anaowashambulia wewe? Akili yako imejaa ubaguzi wa kutisha,mbona unataja kaskazini?
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Kumbe bila Chadema bunge linakuwa halina maana yoyote. Tangu jana maccm yanalalamika tu kwanini Mbowe kaamua wabunge wote wa Chadema waende Arusha kwenye msiba.

maagamba mliua watu Arusha mkatarajia Chadema watakwenda bungeni kujadili bajeti yenu ya pombe, sigara na soda ili muanzishe propaganda nyingine kuwa Chadema imewatelekeza waathirika wa milipuko ili mpate nafasi ya kujitafutia kahuruma kwa wananchi wa Arusha.

Baada ya kuona hilo limekwama sasa mmeanza propaganda nyengine ya kuishawishi familia ya mtoto Juma Ramadhani ili wazazi wake wasikubali msaada wowote kutoka Chadema na nyie ccm mtoe gari na kushughulikia gharama zote za msiba.

Mnapenda kuua wananchi ili mkajitafutie sifa za kijinga. Lakini mtambue kuwa wananchi wamewachoka na wanazidi kuwachoka hata mfanyeje lazima mtaondoka tu. Wazee wa misiba mna wabunge zaidi ya 200 lakini hamuwaamini hadi mnalilia maoni ya Chadema.
 
Wewe na Mbowe iko kitu....si bure...toka mawio mpaka machweo wewe ni Mbowe tu....maybe thats where you get your bread....otherwise utauwa familia
Mkuu Safari_ni_Safari, desturi za mashoga ni kuwa akimzimikia mtu huwa anaanza na kubana pua huku akimkandia na kumkashifu huyo anayemtaka ili akasirike na akitaka kumuadhibu basi anamwambie "basi yaishe yakhe! Acha nikupe mambo ntulize roho yako babu! Najua we wantaka he he"
Sasa bahati mbaya kakosea maana Mbowe hayuko kwenye Uliberali! Huyo ni kamanda mpinga ufisadi hivyo hawezi kumwelewa jamaa?
 
Last edited by a moderator:
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi ingawa hasara ya mwenye mali.Kwa kuwa CCM hawapendi mawazomapya waendelee na ya kwao hii ndiyo nafuu kwao. Fujo za ushoga waliahirisha Bunge milipuko ya mabomu hawana taarifa fujo za Mwara zilitolewa kwenye vyobo vya habari Mbowe hakuandika barua na leo Mbowe kasema kwenye vyombo vya habari Makinda hajasikia. Inasikitisha!!
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.

Ndugu yangu, nina mashaka na uwezo wako wa kupambanua mambo!
Yaani common sense imeshindwa kumfanya Makinda ajue kilichoendelea!?
Yeye anajua yaliyotokea, ni sawa na mtu aliyeko kazini akafiwa na mtoto/mke wake (ofisi nzima inajua) halafu eti bosi/HRM ajifanye kumwuliza "Mbona hujaomba ruhusa kwenda kwenye mazishi?".
Ni hivi, kwa common sense tu, paper work hufanyika baada ya dharura. Kwa wakati kama huu sidhani kama ingekuwa ni busara kwa viongozi wa CHADEMA kukazania eti ruhusa za bungeni kwa jambo lililo wazi.

Mtoa mada kama unaona kauli ya Makinda ni ya mtu makini, basi hapa tumetofauitiana katika suala la vipaumbele. Na hili ndio moja ya matatizo makubwa ya viongozi wa nchi hii kwa sasa
 
Bajeti wanamuwakilishia nani ikiwa Raia wamekufa!!!?? Nyambafu sana Makinda!!! Mnaua Raia, bajeti ya nini!!? Safi sana Mbowe, MAISHA KWANZA POSHO BAADAE. Makinda wasilisha mwenyewe hiyo bajeti NDO MAANA IZAHU!! HUNA UCHUNGU NA WATOTO WA WENZIO!!

IPO SIKU TUTA HESHIMIANA TU!!
 
Back
Top Bottom