Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

Huyo mama na lukuvi wanaongea mambo yasiyoeleweka kwa sababu mipango na matarajio yao kuwa leo wangekuwa wanatangaza msiba wa Mbowe na Lema imeparaganyika.
 
Kwani mkuu TLP, NCCR - Mageuzi, CUF na UDP hao sio wapinzani?

CHADEMA imewanyanyapaa hao wote uliowataja, yani imewatenga na hawashirikiani kwenye kambi ya upinzani bungeni.
 
Mama Makinda amekiri bungeni kuwa hajapata taarifa yoyote kutoka kambi ya upinzani kama imepata dharula na haita shiriki kwenye kikao cha leo cha bunge, hivyo kambi hiyo imeshindwa kuwasilisha hotuba yake. Jambo lililo pelekea bunge na taifa kukosa maoni ya upinzani kuhusiana na bajeti ya serikali.

My take;

Mbowe umeonyesha udhaifu wa hali ya juu leo, yani umeonyesha jinsi gani unavyo endeshwa na hisia na kutokana na hilo umekuwa ukitoa maamuzi ya kukurupa ambayo ndani yake hayana tija.

Kiongozi aendeshwi kwa hisia bwana Mbowe.
Maisha ya watanzania ni mhimu zaidi kuliko hata hiyo bajeti ambayo mwisho wa siku huwa haitekelezwi. Kwanza mimi nafikiri wabunge kule bungeni wanakutana kwa ajili ya kugawana allowance tu hawana la maana wanalofanya, maana hakuna kila mwaka wanakaa bungeni kupitisha bajeti lakini hali ya umaskini inazidi kuongezeka.
 
CHADEMA wanapaswa kuwa waalimu wa siasa za kistaarabu wanazozihubiri.

Wakumbuke tu kuwa what goes around comes around!
 
CHADEMA imewanyanyapaa hao wote uliowataja, yani imewatenga na hawashirikiani kwenye kambi ya upinzani bungeni.

Sidhani kama CDM imewafunga mdomo kwenye kuchangia na kutoa hoja pale wanapotakiwa kufanya hivyo...
 
Hamy D

Wewe ndiye unayesema. Mbowe ni Kiongozi wa watanzania. Hahitaji kukufurahisha wewe wala wauaji wasio na dhamira wala ubinadamu. Taifa na Dunia zima wanaelewa au wataelewa maamuzi ya Busara ya Mbowe. Si raise kwa wenye dhamira mfu kuelewa maana na msingi wa maamuzi hayo. Wakati Taifa linalia wako wanaozungumzia kusikia maoni.... Bajeti in a maana gani wakati watanzania wasio na makosa wanauliwa kama kuku kisha Serikali bila aibu inatangaza Miliioni 100? Ni laana tupu! Hata hivyo makamanda hakuna kukata tamaa ukombozi wa Taifa letu ndio unagonga hodi hivyo!
 
Kumbe mkuu hujui?

CHADEMA imewatenga wabunge wote wa vyama vingine vya upinzani, yani wamejipa mamlaka kuwa hapa nchini wao tu ndio wapinzani. Hivyo, mfumo uliopo bungeni wa kambi ya upinzani ni wao tu ndio wameuweka mfukoni. Watu wa ajabu sana CHADEMA.

Wewe na ccm yako ndio wa ajabu manake mnajisahau mnaua watu ambao labda kuna siku sera zenu zikawavutia wakaamua kuwapigia kura.

Sisi Arusha bendera zinapeapea nusu mlingoti ni huzuni tupu msituchanganye kwanza nyie wauaji ccm.
 
Kumbe mkuu hujui?

CHADEMA imewatenga wabunge wote wa vyama vingine vya upinzani, yani wamejipa mamlaka kuwa hapa nchini wao tu ndio wapinzani. Hivyo, mfumo uliopo bungeni wa kambi ya upinzani ni wao tu ndio wameuweka mfukoni. Watu wa ajabu sana CHADEMA.
issue ni kanuni na taratibu za bunge ndio zilivyo
 
Mbowe ana akili nyingi kuliko wewe mtoa hoja, hivi kwa nchi ilivyo sasa unaona imekaa vizuri , ccm wanatabiri kupitia mtabiri wao Nchemba anawambia watu wasiende kwenye mikutano ya CHADEMA watu wanaenda kesho yake kweli wanapatwa na janga kubwa kama lile, Lukuvi leo anaongea utafikiri aliishia darasa la chekechea, Mwigulu yuko bungeni polisi hawajachukua hatua yoyote kumarrest asaidie juhudi za kutafuta chanzo cha maafa

Mbowe na wabunge wengine wote wa CHADEMA wapo sahihi , uroho wa madaraka wa ccm unalipeleka taifa pabaya

Huyu kijana HAMY- D si kwamba ni Mwehu , La hasha bali Maisha yake yanategemea herufi 3 (CCM) , hana ujanja mwingine lazima ajidhalilishe !
 
Mbowe ana akili nyingi kuliko wewe mtoa hoja, hivi kwa nchi ilivyo sasa unaona imekaa vizuri , ccm wanatabiri kupitia mtabiri wao Nchemba anawambia watu wasiende kwenye mikutano ya CHADEMA watu wanaenda kesho yake kweli wanapatwa na janga kubwa kama lile, Lukuvi leo anaongea utafikiri aliishia darasa la chekechea, Mwigulu yuko bungeni polisi hawajachukua hatua yoyote kumarrest asaidie juhudi za kutafuta chanzo cha maafa

Mbowe na wabunge wengine wote wa CHADEMA wapo sahihi , uroho wa madaraka wa ccm unalipeleka taifa pabaya

kazi ipo hapo
 
wewe kocho kweli. mwambieni mke wenu mliberali awasilishe maoni. bunge jeupeee vichwa vyote vipo A TOWN.

Haaaa haaaa umenichekesha mkuu ila hapo kidogo nimepata taabu plz nifafanulie kidogo kwn wale ni wake zao au wanaume wao kwani mara nyingi nimesikia maalim seif waondio wanaume si unaona midevu yeye jusa
 
Kwani bajeti ya upinzani si formality tu? Watu wamekufa eti bajeti ya upinzani? Waliokufa ni kuku? Mbona meli ilipozama Zanzibar CUF waligoma kuingia Bungeni na Spika akafyata mkia. Spika ana double standard za ajabu! I wish 2015 was tomorrow.
 
Back
Top Bottom