Anne Makinda: Sijapata taarifa kutoka kambi ya upinzani kuwa hawatahudhuria bungeni

Kumbe mkuu hujui?

CHADEMA imewatenga wabunge wote wa vyama vingine vya upinzani, yani wamejipa mamlaka kuwa hapa nchini wao tu ndio wapinzani. Hivyo, mfumo uliopo bungeni wa kambi ya upinzani ni wao tu ndio wameuweka mfukoni. Watu wa ajabu sana CHADEMA.

Kuna wale wailiofunga ndoa na Ccm wanaweza kweli kuwa upinzani?
 
Ccm ------- wakubwa ati hisia kwaliyo mlitaka asiomboleze na waliopoteza ndugu zao? Nyinyi ccm hamna hisia ndio maana mnaua watu kila siku pumbavu zenu
 
Ndg yng acha wanaochafua AMANI ya mji wa ARUSHA ni CCM kwa kuwatumia POLICE jana ARUSHA kila mtu alikua anakimbiakia hakuna kutembea.kila kona walipiga mabomu hata wasiohusika waliathirka.tulikua ofcn kutoka ilikua ni shida.
Katiba mpya itenganishe nguvu ya wanasiasa na dola,haifai hata kidogo police(DOLA) kuendelea kutumiwa kwa manufaa ya chama fulani.
 
Hivi nawewe unafanya nini kwenye forum ya magreat thinker...unatuharibia forum...here we think critically...hatuongei kama ma mburula...
 
hahaaaa! pole sana mkuu, unajua kuna watu humu wanalazimisha mtu kupata ban, kwa upumbavu wao! pumbavu zao
Pumbavu zao kabisa, kauli kama za a Mizengo Pinda unadhani tutafanyaje. Heri kula ban kuliko kukaa na dukuduku moyoni..!
 
Back
Top Bottom