Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.
Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...
Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....
.......yupo kwenye harakati za kugombea nafasi mwenyekiti UWT, hivyo akionyesha makali CC itamuengua.
Hv Ole Sendeka yupo?
yeye na matayo lazima wang,oke upareni,,,,,,,wanatia aibu wapare wanaonekana vilaza kilimanjaro,,shame,,shame,,shame,,,,,,,,,,,,,,,,wameidumaza upare,,,,wapare wamepoteza heshima mikononi mwa watu hawa,,,,,nchi ile imepauka,,vijana wamepoteza nuru,,,wazee ni mburi tu,,,,kina mama ni bendera fuata upepo,,,,,wakipewa kanga na chai ni vigelegele kutwa na kusifia ujinga shauri ya shida,,,,,,,upare amkeni,,,,hacha,,,hariiika nresari,,,,,,,,,mpaka lini.....sina uhakika kama alimpigia kura mwanawe willy!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
huyu mama mnafiki tu nilimshitukia alipokomaa wakuu wa wilaya wawemo kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba.
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.
Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...
Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....
huyu mama kaiba pesa ya kujengea kiwanda cha Tangawizi
Huyu mama mnafiki tu, social ladder climber and cheap popularity seeker.
Hana lolote na mie simshangai.