Anne Kilango awavaa CHADEMA...


Chanzo ungesema ni gazeti la chama cha mapinduzi.
Unapoweka uhuru,unakuwa unataka kuficha yasiyofichika,kuna haja ya kupiga marufuku kwa magazeti haya kusambazwa katika maofisi ya serikali,maana yanawapumbaza wafanyakazi.

Naimani mama kilango hakupata nafasi ya kuzungumzia haya zaidi ya kusemea katika gazeti la chama.
 
 
Huyu mama kiboko yake mama sophia simba ndiye anayempa maneno yanayomfaa.

Huo mpambano wa mipasho kati ya Sofia na Kilango utakuwa ni moto wa kuotea mbali. Ningependa kama ningeweza ku-sponsor hiyo kasheshe. Faida ya mpambano nitaipeleka msaada wodi ya vichaa Muhimbili.

 

Kwani anatumia nini katika kufikiri? Masaburi au?
 
Ndugu yangu huyu Willi ni nani hadi aje kumtetea huyu mama hapa..willi mwenyewe hata upareni kwenyewe hajawahi kugusa
nilichogundua ni kwamba uwezo wa kufikiri wa huyu kijana WILLIUM MALECELA ni mdogo sana na punde atakaposhtuka kuwa anayoongea na kuyafanya sasa ni hasara kwake atakua keshapoteza heshima mbele ya jamii nzima.
 
nilichogundua ni kwamba uwezo wa kufikiri wa huyu kijana WILLIUM MALECELA ni mdogo sana na punde atakaposhtuka kuwa anayoongea na kuyafanya sasa ni hasara kwake atakua keshapoteza heshima mbele ya jamii nzima.

- Hillarious!!! ha! ha! ha! ha!


William.
 

Mama jinga, toto jinga!!!! Hakuna wa kumsaidia mwenzake
 

Anza kurusha hayo mawe wewe ambae hujawahi KUZINI tokea umetoka tumboni mwa mamako!!!!! Kama uchagga unakukera ishia huko uliko kwani hujalazimishwa kwenda uchagani... Bora yeye anadeal na familia yake, je wewe unayechochea matabaka na udini kwa nchi nzima utawezaje kuongoza nchi?
 

Utaishia kubwabwaja tu, ukweli umeshajulikana
 

Wewe ni muongo kumzidi shetani, kwanza hata cv yako ulidanganya vitu vingi sana ikiwemo uliwahi kufanya kazi UN.... Aliyekua mkeo ndo anafanya huko bana na si wewe!!!! Usijidai mjuaji hapa tunakufahamu sana. Wewe jidai kuja front tukuanike
 
By W. J. Malecela

..........ndio mtajibeba na nilikotokea.........
astaghafulilah kina joketi na kina sinta ndio wameshakuharibu unaongea maneno ya ajabu ajabu mara hii ...
 
Huyu William Malecela napata wasiwasi na kichwa chake jamani. Haka kajamaa kamezaliwa wapi yaani kanaongea kama kasukuma mkokoteni leiman.

Natilia shaka hata uwezo wake wa kuvuka barabara.
 

Mama Kilango, cut the drama na ukae chini usubiri unyolewe tena mchana kweupe. CHADEMA are not your average tingatinga. Tuliambiwa ulikuwa unawinda mali ghafi, malizia kiwanda cha tangawizi wazee wa kazi waanze shughuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…