Anne Kilango awavaa CHADEMA...

maskini william, kumbe kwenye kupashana na wewe humo. nilitegemea unyamaze kimya,kama mtu mwenye busara. kweli hufai kuwa kiongozi. pole sana ndugu.
 

Hiyo habari kamulize Laurence Masha ,Mongela,Batilda Burianin na JK ndo watakupa stori vizuri upite 2015 mungu akuweke hai ndo utajua habari ya Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr,KOBE WE!
 
Mkuu William, ulijuaje kama ametumwa na sio mawazo yake!

- Aliyoyasema ni more thana mawazo yake, si unajua reading between the lines ndio hasa our professional! ha! ha1, aliyoyaandika ametumwa na waliomtuma wanfahamika, ndio niliowajibu na ukitaka ninaweza kurudia tena na tena kwamba ni wachawi tu wame-dataz! ha1 ha! ha!

- NIPO HUKU MBEZI BEACH LEO KIKAZI ZAIDI!

William.
 
maskini william, kumbe kwenye kupashana na wewe humo. nilitegemea unyamaze kimya,kama mtu mwenye busara. kweli hufai kuwa kiongozi. pole sana ndugu.

- HA! ha! ha! JF sio mahali pa unyamaza kimyaa, kama unataka kunyamaza kimyaa kaa pembeni waachie wanaoweza kusema wazi kama mimi, ha! ha! ha! ha!

William.
 
bado nayafanyia utafiti maneno yako ili nichague kundi la kukuweka.
 
sina hata hayo mawazo ..kwanza familia yenyewe sina hadi sasa hivi siasa nitaziewea wapi ...hapa tunaongea ukweli tu hakuna mtu mwemye nia ya kugombea ubunhge hapa ..mpelekee mama yako ujumbe kuwa wananchi wake tumeamabka na akija kutudanganya tena lazima tumpige maye
 
Hiyo habari kamulize Laurence Masha ,Mongela,Batilda Burianin na JK ndo watakupa stori vizuri upite 2015 mungu akuweke hai ndo utajua habari ya Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr,KOBE WE!
nakumbuka Masha alishasema kuwa yeye anapita bila kupingwa ..akadondokea pua ..naoan huyu mama anafuata nyendo za Lau
 
maskini william, kumbe kwenye kupashana na wewe humo. nilitegemea unyamaze kimya,kama mtu mwenye busara. kweli hufai kuwa kiongozi. pole sana ndugu.
 
nyie ndio watu ambao hatuwataki ..eti kwa sababu dodoma kuna omba omba ndio na sisi nchi nzima tuwe omba omba?

Kijana nadhani ulikuwa unampa tabu sana mwalimu wako darasani.

Mfano uliotumia wa kibanda cha Nyasi kuonesha hali ngumu ya maisha Same haukuwa sahihi bwana mdogo, kwakuwa nyumba za namna hiyo zipo Jimbo la Arumeru, Karatu, Mbeya, Loliondo,Singida, Kigamboni,Moshi vijijini kwa ufupi ndio hali halisi ya umaskini Tanzania yote, labda kama ungeelekeza lawama kwa Rais wa Jamhuri inge make sense.
 
huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma

Mkubwa hili nalo NENO!
Yaani hata alipofanyiwa kitu mbaya na wahuni magamba anaona ni gado, Leo anaona hao ni marafiki kwake ni amani hiyo daah! Au wameshamrudishia ngawira zake na sasa yuko safi?
 
kuonyesha kibanda cha nyasi sio kwamba yule mama aende akajenge nyumba ya bati bale ..maana yangu ni kuwa afanye juhudi ya kuweza kuinua maisha ya wananchi wa pale ...
 
Rais wa Jamhuri ndiye mbunge wa Same?......nini maana ya kuwa na mbunge kama kila kitu kitaelekezwa kwa rais wa Jamhuri?.....hatukatai nyumba kama hizo zipo kila mahali Tanzania.....hiyo ya same aloiweka Saint Ivuga ni kwa vile anayejadiliwa hapa ni mbunge wa Same......kwani unadhani hizo nyumba zipo kwa vile wananchi wanazipenda au ni ugumu wa maisha ulosababishwa na serikali iliyoko madarakani kwa miaka 50.....
 
Last edited by a moderator:
Kama source ni kijarida cha uhuru basi wasubiri hiyo 2015 anayosema kilango waone hasira za watanganyika zilivyo......wanadhani chadema ni chama cha kufunga ndoa zisizo na kiapo km za ccm na cuf, ccm na nccr?
 
Source na Muhusika havitofautiani sana......Stay tune mama chenye mwanzo kina mwisho na kwasababu ulianza basi hujue utamaliza kupayuka na kubwabwaja siyo msingi wa kukwepa tatizo.
 
huyu mama anakuja kwenye misiba mlimani analia huku hata mtu aliyekufa hamjui ,..basi ilimuradi tu aonekane yuko karibu nao ili wampe kkura za huruma

Kulia nao siyo suluhisho kama shida zao unawachia haina maana hiyo ni kumkoma nyani ........Whats thereeeee..
 
Huyu mama kiboko yake mama sophia simba ndiye anayempa maneno yanayomfaa.
 
ana akili fupi na ndogo kama za william malecela na dead-man walking john samuel malecela(small letters intended!!!!) na ndio maana wanaelewana sana...akili za mkorogo.
Mkuu
Hapa si unajidhalilisha bali unatudhalilisha hata sisi wana JF, kwanini jazba? ukiangalia great thinkers humu wananufaika nini na comments zako.

Wakuu JF hebu tudumishe jadi yetu ya kuelimisha umma na wala si kutukanana. Jamvi litakimbiwa na thinkers litabakia na
watu wanaotawaliwa na emotions zao hapo litapoteza heshima.

Naomba kuwakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…