Anne Kilango awavaa CHADEMA...

 
 
Wilium Maliccela kweli nimejiridhisha hufai kupewa cheo chochotekatika jamhuri hii labda Urudi kule marekani ukaendelee na ile kazi yako nzuri ya kuzoa takataka walau ilikuwa inakulipa sana tofauti na hapo utachafuka sana
 
 

Siasa za kuhubiri umwagaji damu hazitakubalika kwa mtanzania aliyezoea amani.
 
 

Mkuu Wiliiamu anaweza kujibu make hata yeye anajua vizuri hii kitu
 

Hiyo source ys habari tunaifahamu sana. Petroli haiwezi kuzungumzia mambo ya moto.
 
Huyu mbunge hastahili hata kuwa muoshaji wa mbwa wangu, sembuse ubunge.
.
LONELINESS IS THE MOST TERRIBLE POVERTY".
 
 

Aisee kwa kweli sura ya mtu inaweza kumuelezea hata tabia yake. Sishangai maneno uliyasema hapa kwani sura yako yenyewe ni kielelezo tosha. Hivi umekosa la kusema mpaka unaandika huo utumbo? Baadaye ukirudi nyumbani unategemea uambiwe pole kwa kazi? tehe teh teh teh.
 

Nadhan Huyu Mama anaota!! Jimbo linalomfaa ni Jimbo analomiliki Lusinde!! "Kadadadadeki!!" Wapare wameamka sasa Binti ameshaozwa na ni muhimu aende Zake kwa Mumewe na sio Kuendelea Kuwa Mtawala!!
 
Mutuz,

Kwa muendelezo wa pumba hizi hutakaa uwe kiongozi nchi hii!

Huna uvumilivu Mkuu, na hata kama huna uvumilivu akili na haya nazo umeacha@ NYC!

Jirekebishe mkuu, Mtera wanakuhitaji!
 
Huyu mama ubongo wake umeathiriwa na madawa ya kutengeneza mkorogo anaotumia kujichubulia uso
 



soma post #14....kumbe famia yako inashiriki ukameroon?!!
 
hiyo blog anayodai kafungua ina nini kipya zaidi ya kupost mambo za mademu?? umri na vitu anavyovifanya ni tofauti!!
 

Aaaeee kichwa kinaumaaa!!!!!!
 
Hao watu wa mtere wote wana matusi. Lusinde aliacha historia kule Arusha Arumeru. Huyu naye walewale. Matusi ya baharini. Wewe unasema mtera wanamuhitaji. nani ampe hata huko mtera? zile cd za lusinde zimemwagwa mle na hawataki kusikia mtu anayeitwa CCM. sasa mtu kama anatukana hata humu jf unategemea ndo aje aongoze wana-mtera? jazba huwa hazijengi mkuu!! hata ulipokuwa unahojiwa bungeni dodoma ulikuwa na jazba. uongozi na jazba wapi na wapi? pia rekebisha na hiyo blog. ushauri wa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…