- Malecela hanihusu sina hata muda wa kujibu ysiyonihusu, na US nilienda kwa nauli yangu mwenyewe sikuepelkwa na wewe, baba yako mdogo Mboma aliyekupeleka Russia, wala serikali nilienda kwa hela zangu, nilizozipata kwenye ubaharia. Bwa! ha! ha! ha!
- Fisadi ni baba lako Mboma, limeiba hela za Kiwira na Meremeta, na zingine likakupa ukamsemeshea mtoto wake, Bwa! ha! ha! wewe ndiye fisadi sasa warudishie wa-Tanzania wa NY hela zao za michango uliyowadanganya na kile chama chako cha kitapeli mwizi wewe na fisadi koko! BWa! ha! ha!
- Hapana mkuu alichofanya baba yako ni kuliibia taifa letu matokeo wanachi wanakufa mahospitalini, kule jeshini wanajeshi wanakuffa kwa kukosa misaada kwenye hospitali zao kisa na mkasa baba yako ameaibia, Mheshimiwa Mbunge Mama Super K, hahitaji anything maana ni kiongozi maarufu na anayeheshimika sana na taifa, isipokuwa ma-foreigner kama wewe! Bwa! ha! ha! ha!
- Hapana siwezi kuwa ninaboa, anyeboa ni wewe, ndio maana ulipopata ajali wananchi wote waligoma kuja hospitalini kukuona, ni mimi mkuu ndiye aniliyekua wa kwanza kuja pale, si unakumbuka jinsi ulivyokuwa unanipa simu niongee na fisadi wako Mboma.
- Saa sita za usiku umekuja kuniamsha wewe na watoto wako hamna usafiri kwenda kule maporini, nimeacha usingizi wangu nimekuendesha usiku usiku mpaka kwako, sasa tizama shukrani ya punda eti nibaoa! kuliko wewe mkuu yaani jamii nzima ukitokea ni kukucheka tu maana hawaelewi matatizo yako hasa ni nini? pole sana!
- Malecela hanihusu kwa hiyo sina sababu hata ya kugusa hiyo point, acha kujiwkeza kweza wewe ni wewe tu mkuu, nimekuona ukihangaika sana kujiweka kwenye viongozi na kujifanya na wewe ni kiongozi, no you are not ridhika na ulicopewa na Mungu, achana na hawa watoto wa Nyerere niliokuona nao mara ya mwisho hawawezi kukusaidia anything, kazana wewe mwanaume simama mwenyewe wewe, mimi huniwezi ni mjanja siku nyingi sana, nikiwa majuu kwenye meli wewe ulikwua kwenu Bukoba, unalima kahawa, mimi sio size yako ingawa unajaribu sana kulazimisha!
- Mama Kilango, atashinda na kurudi bungeni na huwezi fanya lolote, jitu jeusi kama mkaaa na roho iko hivyo hivyo masikini wa ubongo wewe! tuliokuzidi tunakuzidi mkuu huwezi balance na matusi huku JF, unazidi kujivua nguo tu kama siku ile kwenye ile hafla ulivyoadhirika, halafu tizama ulivyotukanwa na Kikwete, yaani what a melt down! Bwa! ha! ah! ha!
- Too low siwezi hata kujibu, lazima imeanndikwa na kichaaa! kama nilivyokuambia majuzi wewe ni kichaa! BWa Ha! ha! Hebu jaribu kukumbuka ni lini umewahi kunisaidia ni mimi tu ndioye ninayekusaidia kila wakati, achana na mimi mkuu jairbu kwua mstaarbu kidogo, sasa chill out! Bwa! ha! ha! ha!
- I understand kwamba last Sunday nilikupa free pass, sasa mkuu I promise you leo nitakula sahani moja na wewe na hii personal attacks unayoitaka sana, sasa bring it on!
es!