- Siwezi kuwa na beef na a fool ambaye wala hatuna anything in common, wala hatufanani, simjui ila ni yeye ndiye siku zote anayehangaika kunifuata fuata, umri hatufanani the man is too old for me, nilipokuwa majuu amenikuta masikini ya Mungu huruma tupu, sasa leo nashangaa eti akitaka kuwa ligi moja na mimi pole san mkuu, I m too much for you, kama ni ufisadi unajua vizuri kwamba wewe ndiye umetoka kwenye ufisadi, tabia zako katika jamii ni za kifisadi, no body likes you kwa sababu ya tabia zako za kijinga jinga, wewe unirekebishe mimi? that is biggest joke I ever heard anza na wewe, rudisha zile hela zza wananchi uliowadnagnya na chama uchwara cha kabila lako, acha kulilia kina mama wanaokuzidi umri, then njoo unirekebishe!
- Psychiatrist? Mimi au wewe? kwenye hilo wala sina tatizo mkuu maana inafahamika wazi kwamba una matatizo makubwa sana, kumbuka ile siku ya party umetukana wee hapa JF, halafu ukabeba mek wako na watoto kuja kwenye party hiyo hiyo, watu wote walishangazwa infact toka pale ndio ukaacha kabisa kutumia yale majina yako mawili, kutokana na aibu ya ile siku, halafu kumbuka ile siku jinsi Rais wa jamhuri alivyokutukana mbele ya hadhara, sasa mkuu eti mimi na wewe nani anayehitaji msaada wa akili? Bwa! ha! ha! ha!
- Afraid of a shadow? Mtumzima miaka 62, IDs karibu 1000, halafu eti hukimbii your shadow, sasa unakimbia nini? Kwa nini uliacha kutumia zile ID za Kuhani/Dilunga kama hukimbii kivuli chako? Baaada ya kuaibika mbele ya jamii ndio ukaikimbia kivuli chako, halafu una ubavu kusingizia wengine pole sana kaka, usingiie mjini kwa pupa mkuu, unajua katika historia ya hiyo jamii wewe ndiye mtu wa kwanza kutukanwa na Rais? Aibu sana!
- Mkuu again I am seamen, kama unajua anything else nimekupa nafasi mara nyingi sana hapa useme, nimekupa nafasi mara nyingi sana useme ufisadi wangu, nimekuambua nina mali zangu na niko njiani kuingia kwenye uongozi kwa sababu as raia wa Tanzania ni haki yangu,
- Ni kweli, nimesema hivi wewe ulifeli Form six ukashindwa kwenda Mlimani sasa kwa sababu baba yako mdogo alikuwa na nafasi kubwa kidogo jeshini, akaenda CCM kuomba nafasi ya kukupeleka kusoma Russia, hicho kitu kilikuwa kinafanywa na viongozi wengi wa vyeo vya chini katika serikali ya CCM zamani, nafasi za kusoma Russia, China, Cuba zilikua zinakuja kupitia CCM, ndio ukaacha kazi BOT ukaenda Russia, as opposed na mimi ambaye nilikwenda mwenye kupanda meli bila kupelekwa na yoyote, niliposhuka melini nikaenda Europe, Canada, baadaye nikatua US, wewe NY ulienda kwa ndege ukapokewa Airport na ndugu zako,
- Mimi nilikwenda NY kwa basi through maboda nikitokea Ottawa na Montreal, nikafika Port Authority NYC simjui mtu, nikalala pale kama homeless, mambo yangu yote yakaanzia hapo mapka kujisomesha Degree mbili mwenyewe, sasa wewe mtoto mdogo wa maisha utaniambia nini wewe? Ndio maana ninakuambia kuwa mimi sio size yako, I m too much for you wewe ndiye mtoto wa fisadi, maisha yako yote ni ufisadi ufisadi, kudhulumu dhulumu watu, mimi sina hizo tabia mkuu.
- Please usinipotezee muda, kama huna hoja on the topic!
es!