Anne Kilango alalamika kuingiliwa jimboni na DC

Anne Kilango alalamika kuingiliwa jimboni na DC

Ni shida sanaaa, ndio watu hawa wapo kwenye maamuzi mengi ya nchi. Tutafika tu.

Ni shida hajui tofauti ya,
Lecture
Lecturing
Lecturer

cc. bampami

Hope is just by mistake he wrote lecture instead of lecturer no need is discusing it
 
Last edited by a moderator:
Kaka Ifweero hao ndio vijana wa dotcom yaani Kwao kila kitu wanajua, any way hayo ndio madhara Ya kudesa

Mkuu usipende kulaum sana hata lecturer wangu tena prof mzima alishindwa/alisahau kuandika neno helical springs ikabidi aende kucheki nondo hizi lugha za watu mkuu. Hasa kwa sisi.ma engineer hii lugha inatusumbua sana ...
 
Ni shida sanaaa, ndio watu hawa wapo kwenye maamuzi mengi ya nchi. Tutafika tu.

Ni shida hajui tofauti ya,
Lecture
Lecturing
Lecturer

cc. bampami
Mkuu hilo neno lecturer tumeliswahilisha linakuwa lecture! Yaani Lecturer ya kiingereza ndio lecture kwa kiswahili! Watu wengi sana utawasikia wakisema bila kupepesa macho wa kutikisa masikio eti Lecture wangu ama lecture Assad!
 
Lecture wako??!!!

Kakuambia haishi vituko na hilo la kumfundisha CL kwa Lecturer kuitwa Lecture wake ni sehemu ya hivyo vituko. Anyway, Anne Kilango akubali kuwa yanayotokea ndio demokrasia yenyewe. Awwache wapiga kura wake wapate mitazamo mbalimbali ya wanaoweza kuwa wabunge wao ili waje wamlinganishe nao.
 
Huko ndio kubebana huko na kweli ccm mwaka huu mna kazi linakuja anguko kuu sasa
 
Kilango anaweweseka,maana amepigwa na CDM kama vijiji saba vimeenda katika uchaguzi uliojaa upuuzi mwingi,sasa anaanza kusaka wachawi,akumbuke kwamba wakiti ni ukutu huwezi shindana nao kwa namna yoyote ile iwe kwa propaganda ama siasa za majitaka
 
Wote Anne kilingo na huyo kadege hawana akili si masisiem matupu hayo.wajinga wakubwa hao.
 
Kumekucha. Mbunge wa same mashariki amelalamikia rafu alizofanyiwa na DC wa Mbozi mh. Michael Kadege kwa kupeperusha bendera jimboni kwa Anne Kilango wakati si wilaya yake kinyume cha taratibu za nchi.
Anne Kilango amenukuliwa akimtuhumu Kadege kuwa anajua anataka kugombea jimbo hilo lakini angefuata utaratibu na ukizingatia wote ni CCM.
Source: Magic fm.

Si akagombee kwa mume wake Mtra? Watu wa Same wanakubalije kuongozwa kwa remote??
 
Mbunge wa same mashariki.Anaa kilango malechela kuna tetes kuwa amempiga dereva wa mkuu wa wilaya ya mbozi"hiyo imetokea mkoani kilimanjaro baada ya dereva huyo wa mkuu wa wilaya ya mbozi kupeperusha bendera ya mkuu wa wilaya ya mbozi kwenye wilaya nyingine kimakosa kinyume na sheria
 
huyo jamaaa wa wapi apigwe na kile kimama....
 
Siasa hizi kweli ni balaa,hivi mama kilango anaweza kumpiga dereva wa kiume?
 
Back
Top Bottom