Anne Kilango alalamika kuingiliwa jimboni na DC

Anne Kilango alalamika kuingiliwa jimboni na DC

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Kumekucha. Mbunge wa same mashariki amelalamikia rafu alizofanyiwa na DC wa Mbozi mh. Michael Kadege kwa kupeperusha bendera jimboni kwa Anne Kilango wakati si wilaya yake kinyume cha taratibu za nchi.
Anne Kilango amenukuliwa akimtuhumu Kadege kuwa anajua anataka kugombea jimbo hilo lakini angefuata utaratibu na ukizingatia wote ni CCM.
Source: Magic fm.
 
Waliyadharau maneno ya Mchungaji Kakobe na pia hata ule walaka wake wa wazi kwa raisi hawakuusoma na kuuelewa.

Aliwaambia kutakuwa na mfarakano katika chama tawala na kutoelewana ambako kutepelekea Anguko kuubwa
 
Ha ha ha ha ha kadege lecture wangu wa CL pale UDSM.
Huyo Jamaa haishi vituko...

wanajuana hao

kwani huyu ni michael kadege yule wa communication skills pale mlimani ?lini amekuwa mkuu wa wilaya?
 
Ha ha ha ha ha kadege lecture wangu wa CL pale UDSM.
Huyo Jamaa haishi vituko...

wanajuana hao
Umesoma chuo kikuu umetoka mtupu kama ulivyoingia..lecture wako ndio nn???
 
Edit hapo kwenye lecture isomeke lecturer.
Aedit nini wakati yeye anaamini yupo sawa?
Kadege ana shida zake, kuna siku nimemsikia maeneo ya Ubungo akiwatishia vijana kwamba yeye ni mkuu wa wilaya atawaweka ndani. Nadhani ubongo wake hauko sawa, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi aje kuwasweka ndani wananchi wa Kinondoni!
 
kwani huyu ni michael kadege yule wa communication skills pale mlimani ?lini amekuwa mkuu wa wilaya?
Mkuu utakuwa upo Somalia bila shaka!
Ndiye yeye na ni mmiliki wa shule ya Perfect Vision
 
Back
Top Bottom