Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,094
- 9,261
alitaka kugombea ubunge, lakini akaenguliwa kwenye kura za maoni na zawadi yake akapewa ni UDCHivi ni kweli mtu anatoka kuwa Lecturer na kwenda kuwa DC?
Hope is just by mistake he wrote lecture instead of lecturer no need is discusing it
Lecture wako??!!!
Nilitaka kuuliza pia. Kwa nini tunashindwa kutofautisha kati ya lecture na lecturer? Wahitimu mnatuangusha. Nimeona wengi wanafanya hivyo sijui vipi.
kwani huyu ni michael kadege yule wa communication skills pale mlimani ?lini amekuwa mkuu wa wilaya?
Mda siyo mrefu hizi fujo zitaisha wateule wa bwana watajulikana hatimaye wananchi kuamua nani atawafaa.
ni shida sanaaa, ndio watu hawa wapo kwenye maamuzi mengi ya nchi. Tutafika tu.
Ni shida hajui tofauti ya,
lecture
lecturing
lecturer
cc. bampami
Ryaro wa Ryaro Acheni ushamba kukosea hata wewe unakosea, tatizo si elimu wala mwalimu wangu tatizo ni simu zetu hizi za android,, puuuuuuuuumbbbbbbbbbbbaaaaaaaavvvvvvvuuuuuuuuuuuu!!!
CL Ndo nini. Au ChakuLaHa ha ha ha ha kadege lecture wangu wa CL pale UDSM.
Huyo Jamaa haishi vituko...
wanajuana hao
Kumekucha. Mbunge wa same mashariki amelalamikia rafu alizofanyiwa na DC wa Mbozi mh. Michael Kadege kwa kupeperusha bendera jimboni kwa Anne Kilango wakati si wilaya yake kinyume cha taratibu za nchi.
Anne Kilango amenukuliwa akimtuhumu Kadege kuwa anajua anataka kugombea jimbo hilo lakini angefuata utaratibu na ukizingatia wote ni CCM.
Source: Magic fm.